picha plsssssssss.....
vipi mkutano huo utarushwa kwenye luninga kama wa jangwani? Tujlishe ili tujipange.
picha plsssssssss.....
Nimemwomba mwajiri wangu anipe likizo nizunguke pamoja na makamanda nitawajulisha nitakavyojibiwa
Hapa ndipo ninapomkumbuka Kamanda wa ukweli REGIA maana picha zingemwagika hapa na kuziba midomo ya hawa wazushi
ndo wakati muafaka wakujua kama hawa watu wa kusini wanaendelea kula panya au wameshajiunga na kundi la wajanja kula samaki original toka baharini!!!
Good news!