Kutoka Viwanja vya Mashujaa Mtwara: Kampeni ya Vua gamba, vaa gwanda yaendelea

Mawaiba

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
417
150
Makamanda ndio wanatia timu kiwanjani..! Kimsingi naweza kusema ni mapokezi ya kihistoria. Mtaendelea kupokea Updates..

Picture Updates:

749766395.jpg


267598563.jpg
 
Pamoja kamanda, tueendelee kupeana taarifa tu, ila na picha zinahusika zaidi.
 
PICHA PLS MUHIMU SANA SISI HUKU KISIWANDUI TUKO MAFICHONI HATUJUI HATMA YETu
 
Habari nilizozipata hivi punde wananchi wa mtwara na viunga vyake wameshafika uwanja wa mashujaa mtwara kwa ajili ya Kuvua Gamba na Kuvaa Gwanda. Source:wa jikoni
 
Asanteni wakuu nitalifanyia kazi. Tatizo natumia mobile phone, nikijaribu ku-upload picha inaniwia vigumu kidogo. Nitajitahidi, lkn so far hali ni shwari kabisa.
 
Tunashukuru kwa taarifa mkuu.
Tunaomba update japo kamstari kamoja kamoja kuhusu yanayotukia hapo uwanjani. Kumbuka sisi hatupo hapo uwanjani kwa hiyo kila utakachopost kwetu ni habari.
 
Back
Top Bottom