Kutoka Viwanja vya Mashujaa Mtwara: Kampeni ya Vua gamba, vaa gwanda yaendelea

ndo wakati muafaka wakujua kama hawa watu wa kusini wanaendelea kula panya au wameshajiunga na kundi la wajanja kula samaki original toka baharini!!!
 
Moto huu na uendelee;chonde chonde cdm;muendelee na sera hiyohiyo ya uadilifu hata pale mtakapochukua madaraka;watanzania kwa umoja wetu tumewaamini;msituangushe!!!!!
 
Mchina wangu anazingua sana,nikitoka job saa 11 naenda Mashujaa ,picha naziwa jamvini,Ofisi inanibana leo.People power.
 
makamanda baadaye nitajarbu ku'upload picha natumia simu, npo viwanja vya mashujaa kama kawaida nawakilisha
 
11 kamili nitakuwa Uwanjani,nikipata nafasi namwaga Picha jamvini.Musikonde makamanda ,kuna wenyeji huku.
 
Back
Top Bottom