Kutoka Viwanja vya Mashujaa Mtwara: Kampeni ya Vua gamba, vaa gwanda yaendelea

sinamengi tushatoa T shirts wananchi wanajielewa na wamenunua kwa wingi kusambaza ujumbe


556248_361549300575725_100001619734978_1001108_194710520_n.jpg


Hamwezi epuka hili tsunami la mabadiliko...
 
Kwa umati uliohudhuria sina budi kuiamrisha ccm mguuuuu pandeee... mguuuuu sawaaaa...., kushotoooo geukaaaaaa...., kuliaaaaa geukaaaa...., mwili legeza.

Dahhhh mageuzi family hii ni balaaaa, hata wakati wa kampeni 2010 haikuwa hivi kwa magamba....
 
Kweli hapa ni MT hilo jengo dongo la blue na kijani karibu na tent lipo katikati ya uwanja wa mashujaa. Pia, pembeni ya tent huo mti unaitwa msufi upo pale bila shaka 100% ni uwanja wa mashujaa

Bado watasema mengi tu, CDM inazidi kufunika tanzania.

Mwaka huu mwezi wa nane, Tanzania tunafanya Sensa ya Kitaifa ya Idadi ya Watu:- NAPENDEKEZA CCM WATUMIE NAFASI HIYO pia KUFANYA SENSA ya WANACHAMA wao ILI WAJUE WAMEBAKI WANGAPI BAADA YA TSUNAMI LA M4C.

Huu ni ushauri wa bure nawapa CCM, msinilipe chochote.



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Kaka yangu hizo propaganda JK mtu wa watu

Jana ndipo nilijua kumbe wakati mwingine Nape ana akili, japo zinaingia na kutoka au huwa anajitia Uzuzu. Ni pale alipotamka Ukweli kwamba CCM inakufa. Na kusema kwamba hata kama atabaki pekee yake yeye hana shida, CCM ataiendeleza tu. Ameshaona mbele kwamba kuna dalili ya kukimbiwa na Wanachama wote akabaki na Rejao, Mafilili, Ritz, Faiza Fox, japo siku hizi kabadili I'd, Malaria Sugu, Genius brain, Tume ya Katiba.
 
Jana ndipo nilijua kumbe wakati mwingine Nape ana akili, japo zinaingia na kutoka au huwa anajitia Uzuzu. Ni pale alipotamka Ukweli kwamba CCM inakufa. Na kusema kwamba hata kama atabaki pekee yake yeye hana shida, CCM ataiendeleza tu. Ameshaona mbele kwamba kuna dalili ya kukimbiwa na Wanachama wote akabaki na Rejao, Mafilili, Ritz, Faiza Fox, japo siku hizi kabadili I'd, Malaria Sugu, Genius brain, Tume ya Katiba.

Kuku wote hao watakimbia, pumba za kuwalisha atatoa wapi na kazi ndo atapoteza zote na ufisadi utakuwa kwishney..!
Poor them,
 
Mtwara wameanza kuandika historia mpya ya matumaini, na tumaini watakuwa wamevua magamba kwa kasi ya kimbunga.
 
Makamanda ndio wanatia timu kiwanjani..! Kimsingi naweza kusema ni mapokezi ya kihistoria. Mtaendelea kupokea Updates..

Picture Updates:

749766395.jpg


267598563.jpg


Hiyo picha ya kwanza juu naona VIBARAGHASHIA kibao - mbona Macrusaders hamkejeli kuwa wamefata ubwabwa. Achaeni dharau.
 


huu ni upepo tu! Utapita .. Waulizeni nccr enzi za mrema


hata jk alitamka hayo lkn akajalivunja baraza la mawaziri bila kupenda...hata Al Sahaf alitamka hayo akajikuta anaingia shimoni bila kupenda...upepo huu hautapita bure..
 
Mashuhuda huko Mtwara kuna 1. Shillingi Mkubwa 2. Shillingi meya wa Manispaa Mtwara/Mkindani -GAMBA 3. Omary Shillingi wa Ikongola kama walikuwepo kwenye umati hup basi nitaamini magauzi Mtwara yatafanikiwa,maana hao jamaa mtwara wana followers wengi
 
Hapa kazi ipo kwani sijui. Hebu tuone kama bado Nape ataendelea kuwaita wahuni. Nape ni vema akajifunza kutokana na historia ambayo hata haina miaka miwili kwa mfano; ni juzi Gaddafi aliwaita wanamageuzi mende na panya na hao hao wakamuua, Mubaraka aliwatukana wanamageuzi na bila ajizi wakamtoa madarakani. Asifikiri yale ni ambao ambayo tuko nayo mbali sana kiasi kwamba hayawezi kufika huku. Kule yalianza kama mchezo na huku yatakuwa hivyo. Namshauri anyamaze kama rais JK ili asijisababishie ukimbizi wa kisiasa bila sababu pale CDM itakapokuwa imeshika dola.
 

hata jk alitamka hayo lkn akajalivunja baraza la mawaziri bila kupenda...hata Al Sahaf alitamka hayo akajikuta anaingia shimoni bila kupenda...upepo huu hautapita bure..

Kwenye red umenikumbusha 2003 Kule Baghdad nika recall kuwa usanii have never won a single War; only play a great role illusing to reinforce self deception narrow minded leaders. Nape Mnauye is "Said Al Sahaf" of our time . Aendee kujidanganya hata kama macho yake yanauona ukweli.
 
Back
Top Bottom