Kutoka Viwanja vya Mashujaa Mtwara: Kampeni ya Vua gamba, vaa gwanda yaendelea

Sasa dr slaa ndio anapanda jukwaani kuhutubia, kelele zinapigwa rais, rais, rais, rais.
 
Makene hautendei haki huu mjadala. Angeweza kutupia picha kadhaa kutuliza mun'kari wa watu wanao taka picha. Ukimya wake unawafanya watu watukumbushe majonzi kwa kuanza kuliona pengo la Rejia Mtema.

Makene ukimaliza kusoma hapa tupia picha za matukio kadhaa.
 
Mnawambia nini sasa watu wa kusini wakati mnataka kujitenga kuanzisha Taifa lenu la Kaskazini...
 
Back
Top Bottom