Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 760
Habari wanajukwaa,
Wana body habari za muda huu, ni weekend nyingine tena mwaka unakimbia speed mbaya, wanabody nimekuwa nikisikia watu wakiumizwa na kuumiza kwenye mahusiano
Mimi sijui ni tatizo au vipi ila kwanza sijawahi penda sasa hii ni hali ya kawaida au imekaaje please hebu nijulisheni wataalam wa haya mambo.
NOTE: sii kwamba sijihusishi na hizi mbio nop nishapiga rally zote za kirafiki na official ila ile kumpenda mdada live sijawahi kabisa na akinipotezea nachuna wala siumii sasa sijui ni tatizo au ni hali ya kawaida.
Jimwage mdau wewe sema yote nitakuelewa tu.