philantrhopist
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 376
- 622
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ipo hivi;
kuna wakati mtu akipaniki au kupatwa na stress mwili unaingiwa hisia kabisa hadi bao linatoka kwa mwanaume au kupata hedhi kwa mwanamke sijui hii kitaalamu imekaaje.
Kuna mtu akiwa kwenye chumba cha mtihani au mawasilisho (presentation) au jambo lolote lenye kumpa mtu hofu na wasi wasi mkubwa unaweza kupiga bao au hedhi kutoka. Na manii au hedhi ikimtoka mtu akili zinarudi na kuwa katika hali ya kawaida. Asikuambie mtu usipatwe na hali hii ni shida kwan unaweza kulowa na kuabika.
Ilishawahi kunitokea kwenye pepa swali lilikuwa rahisi majibu yakapotea nikapaniki yaani nilipizi kwanza ndo majibu yakarudi sijui shetani gani alipita hapo. Nilikuwa wa mwisho kutoka na nilikimbia hadi geto bila kuongea na watu.
Vivyo hivyo demu mmoja aliniambia kuhusu hedhi wakati wa mawasilisho aliulizwa swali na lecturer likamshinda na alivyokuwa mkali akamkata hadi alama baada kushindwa kujibu.