Kupenda kukoje?

Mr Natafuta

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
1,670
760
Habari wanajukwaa,

Wana body habari za muda huu, ni weekend nyingine tena mwaka unakimbia speed mbaya, wanabody nimekuwa nikisikia watu wakiumizwa na kuumiza kwenye mahusiano

Mimi sijui ni tatizo au vipi ila kwanza sijawahi penda sasa hii ni hali ya kawaida au imekaaje please hebu nijulisheni wataalam wa haya mambo.

NOTE: sii kwamba sijihusishi na hizi mbio nop nishapiga rally zote za kirafiki na official ila ile kumpenda mdada live sijawahi kabisa na akinipotezea nachuna wala siumii sasa sijui ni tatizo au ni hali ya kawaida.

Jimwage mdau wewe sema yote nitakuelewa tu.
 
Maybe ulishaumizwa so umekata tamaa na hauna hamu ya kupenda tena.
Aisha si kwamba ameumizwa hapana hata mm nipo hivyo mapenzi usiyatie akilini vile yanavyoenda unaenda nayo
Mpenzi akikutishia kukutosa unaanza kumtosa yeye
Akikuletea ujinga wewe unaleta mara mbili
Akiletea maneno ya hovyo wewe unazidi mara tano zaidi
Ukiweza hivyo hakuletei ujinga na ikitokea kutengana huumizi kichwa
Eti mtu ajinyonga kwa ajili ya mapenzi khaaa
Hata kulia silii hata huzuni sitakuwa nayo
Ni ujinga yataka usitilie maanani sana mapenzi
Tahadhari chukua hatua
 
Sasa huwez amin mimi wala sinaga undava wala akizinguwa si-react yaani kimya kama hakitokei kitu
 
Habari Wanajukwaa

Wana body habari za muda huu, ni weekend nyingine tena mwaka unakimbia speed mbayaaa, Wanabody nimekuwa nikisikia watu wakiumizwa na kuumiza kwenye mahusiano

Mimi sijui ni tatizo au vipi ila kwanza sijawahi penda sasa hii ni hali ya kawaida au imekaaje please hebu nijulisheni wataalam wa haya mambo

NOTE: sii kwamba sijihusishi na hizi mbio nop nishapiga rally zote za kirafiki na official ila ile kumpenda mdada live sijawahi kabisa na akinipotezea nachuna wala siumii sasa sijui ni tatizo au ni hali ya kawaida

Jimwage mdau wewe sema yote ntakuelewa TU
Katika vitu vyote unavyovimilik kipi unahisi upo attached nacho sana? (Hata kama ni mwili wako.)
Mkuu me nilifikiri niko peke yangu

Aisha si kwamba ameumizwa hapana hata mm nipo hivyo mapenzi usiyatie akilini vile yanavyoenda unaenda nayo
Mpenzi akikutishia kukutosa unaanza kumtosa yeye
Akikuletea ujinga wewe unaleta mara mbili
Akiletea maneno ya hovyo wewe unazidi mara tano zaidi
Ukiweza hivyo hakuletei ujinga na ikitokea kutengana huumizi kichwa
Eti mtu ajinyonga kwa ajili ya mapenzi khaaa
Hata kulia silii hata huzuni sitakuwa nayo
Ni ujinga yataka usitilie maanani sana mapenzi
Tahadhari chukua hatua
 
Aisha si kwamba ameumizwa hapana hata mm nipo hivyo mapenzi usiyatie akilini vile yanavyoenda unaenda nayo
Mpenzi akikutishia kukutosa unaanza kumtosa yeye
Akikuletea ujinga wewe unaleta mara mbili
Akiletea maneno ya hovyo wewe unazidi mara tano zaidi
Ukiweza hivyo hakuletei ujinga na ikitokea kutengana huumizi kichwa
Eti mtu ajinyonga kwa ajili ya mapenzi khaaa
Hata kulia silii hata huzuni sitakuwa nayo
Ni ujinga yataka usitilie maanani sana mapenzi
Tahadhari chukua hatua

Dah ningekuwa na moyo wa ivyo ningefurah sana
 
Mkuu haya maisha umepanga kuishi mwenyewe au siku moja nawe uje kuwa na mwenza ambaye utaanzisha nae familia. maana kwa maneno na matendo hayo sijui kama utapata mtu
 
Kupenda ni ile hali ukimuona yule unaempenda kuna chemical/hormonal reaction kwenye mwili wako ambayo hata wewe huwezi kuielezea. Uko radhi kufanya chochote kwaajili ya yule unaempenda, hata ukiwa umekasirika ukisikia tu jina lake hasira inamalizika. Ni feeling moja amazing, pole sana kama hujawahi kuiexperience.
 
Huwa nilachokiona ni kule kuwa fair tu lakin kuwa na kamguso ka raa sina kabisa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom