ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 931
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?