'Kuonyeshana nguo za ndani?!'

Jamani hata chupi ikionekana ikiwa mwilini bado utaambiwa umekaa uchi? Kumbe hata mtu mwingine akiishika na kuifua napo utakuwa umekaa uchi?

Ilikuwa bahati mbaya tu nami nilitania tu lakini imekuwa "inshu"

Usitanie tena kitu kama hicho, Ni vipi kama ungemkuta wife wako nae anajifunga vizuri khanga mbele ya houseboy wenu halafu unajua kabisa alitoka chumbani kwenu asubuhi labda akienda toilet ya nje na hakuvaa chochote zaidi ya kufuli?????

Angalia matani ya kupost humu wakati mwingine.
 
Ama kweli ndege wafananao ndio warukao pamoja....

Yaani watu wazima wawili mnamwachia hg afue vyupi zenu?
Atandike kitanda chenu?

Nyie wenyewe mmekatika mikono au?

Utamwachiaje hg afue shaha**a zako?

Kwa nini hamjiheshimu?
Kwa nini hammweshimu huyo binti?
Kwa nini hamumthamini?
 
Na sie wanawake wasomi tunatia aibu, naamini mimi nikiolewa chupi ya mume wangu naifua mimi na kutandika kitanda natandika mie ati! Tuache USOMI
 
Unavuna ulichopanda

Utani mwingine ni gharama sana

Hukupaswa kulifanyia mzaha jambo hili
 
Usitanie tena kitu kama hicho, **** weee.
Ni vipi kama ungemkuta wife wako nae anajifunga vizuri khanga mbele ya houseboy wenu halafu unajua kabisa alitoka chumbani kwenu asubuhi labda akienda toilet ya nje na hakuvaa chochote zaidi ya kufuli?????

Angalia matani ya kupost humu wakati mwingine. msh**$&%#**@!!!%$& weeeee
Mkuu nini tena mi nimetania we wantusi khaaa, mwezi mtukufu huu utampotezea hudhu na thawabu atiii... Sio vyema mkuu kuporomosheana matusi kwn JF, ukikwazika, poza kikondoo,umri wa kutusiana ushapita mtumishi. Mungu akujalie hekima na busara usiendelee hivyo mpaka uzeeni mwako ili uweze kuishi kwa furaha ukimaliza ujana wako!.
 
Hebu tupe kisa cha kuchuniana for 3 Days and status yenu ilikuweje after Beki tatu kuona chupi na Mamsap kushuhudia hilo
 
Ama kweli ndege wafananao ndio warukao pamoja....

Yaani watu wazima wawili mnamwachia hg afue vyupi zenu?
Atandike kitanda chenu?

Nyie wenyewe mmekatika mikono au?

Utamwachiaje hg afue shaha**a zako?

Kwa nini hamjiheshimu?
Kwa nini hammweshimu huyo binti?
Kwa nini hamumthamini?

That's why I joked my wife, why she is complaining...?.
 
Hapo tofauti ni huyo hausegirl kaiona chupi ikiwa imevaliwa lakini chupi zenu zote anazijua idadi hadi rangi hata harufu zenu anazijua, shame on you.
 
Ama kweli ndege wafananao ndio warukao pamoja....

Yaani watu wazima wawili mnamwachia hg afue vyupi zenu?
Atandike kitanda chenu?

Nyie wenyewe mmekatika mikono au?

Utamwachiaje hg afue shaha**a zako?

Kwa nini hamjiheshimu?
Kwa nini hammweshimu huyo binti?
Kwa nini hamumthamini?

That's why I joked my wife, why she is complaining...?.
 
mmmh hiyo couple ya aina yake.yaani mnafuliwa vyupi na kutandikiwa kitanda?
 
Hata hvyo kwanin housegirl aingie kufany usafi chumbn kwenu jaman hebu 2badilke hata kama mkeo yupo bize hata wew wawez fany me cjapenda kwa kwel
 
Hata mimi umenikera sana bwana! Wewe mpuuzi sana, yaani binti mdogo anawafulia vyupi vyenu? Kubwa jinga kabisa!
 
Anafua vyupi na kutandika kitanda kwani akiona nanihii iko mbaya gani. kaka naona huyo mkeo anajishtukia tu lakini wajibu wake haujui.
 
ha!!!!! dada wa kazi kufua chu**i???? what a shame is that?? na mkeo anajisifu ameolewa na wewe kujisifu umeoa??
 
mh makubwa...

binti anawatandikia kitanda,

anawafulia chup!!!???
Ikiwa ni kweli mama amemruhusu Hse gal wao kuwa anatandika kitanda na kufua chupi basi wote, huyu mama na huyu mleta mada ni tatizo. kama hse gal huyu anapika, anapakua, anafua chupi na kutandika kitanda; ni sababu zipi zitakazomfanya asimalizie na kazi ile nyepesi iliyobaki ya "kumlea" baba endapo mama atashindwa kuitimiza kutokana na "ubize" wake?
 
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?

Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! NO!NO! this is great sick not great thinker! Yes. Ngoshwe unakubali mdada wa kazi akutandikie kitanda kweli na mkeo yupo?! Noooo bhana. Halafu mnampatia pichu zenu zilijaaa manii zenu za kutwa nzima hadi wiki awafurie halafu huyo mkeo analalama?
Hebu tueleze analalama kwa kipi kama siri zote za ndani yeye amekubali kuzibinafsisha? Kwangu mimi mdada wa kazi hata chumbani kwangu haruhusiwi kuingia au kufua ngua zangu. Kwa maana nyingine akishaweza kushika hivyo, atashindwa nini kukamatia hiyo kitu yako? Mkeo mpuuzi tu. mwambie awajibike aache kulalama.
 
heri yenu at least nnyie mna chupi za kufua some cannot afford
33867_10151306297382938_2101818544_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom