'Kuonyeshana nguo za ndani?!'

Ama kweli ndege wafananao ndio warukao pamoja....

Yaani watu wazima wawili mnamwachia hg afue vyupi zenu?
Atandike kitanda chenu?

Nyie wenyewe mmekatika mikono au?

Utamwachiaje hg afue shaha**a zako?

Kwa nini hamjiheshimu?
Kwa nini hammweshimu huyo binti?
Kwa nini hamumthamini?
Kwakweli hili la hg kufua ch**p limenistua kidogo!!
 
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?

kwenye red hapo naona familia nzima haina heshima kwa ujumla kuanzia wewe mpaka mkeo. hiwezekani utoke chumbani kwako hujavaa vizuri nakuelekea sebuleni. Pili kumpatia dada wakzi chupi/nguo za ndani afue ni laana na si utu ni ujinga uliopita kiasi. tatu dada wa kazi kuingia chumbani ni wendawazimu mkeo anafanya nini hata kama anakazi haiwezekani dada wakazi awe anaingia chumbani kwenu mnakolala na kutandika kitanda chenu. Sifahamu historia yenu inaonekana mlikutana njia hamna hata ndoa bali mpo mpo tu.
 
Hapo mkeo amekosea angekupeleka wodi ya vichàa kwanza, halafu ufanyiwe maombi ya kutosha mchana na usiku mpaka huyo pepo mchafu akutoke.

yaani wewe naona kama uko pamoja na mimi ya hii familia na mleta maada hapa akili zao haziko sawa na kama ziko sawa basi inaonekana hawana malezi mazuri na kama walikulia kwenye malezi mazuri basi ni utovu wa nidhamu na ulimbukeni. heshima ni kitu cha bure muheshimuni huyo dada
 
Jamani dunia hii ina mambo. Yaani watu wazima wawili wanafuliwa ch*pi na hg? Yaani mkuu hata ch*pi yako huwezi kufua? Na mkeo naye? Umeoa dudu!! Hata kitanda hamuwezi tandika? Kwa hiyo mkimaliza ku-do night mnalala kitanda kikiwa vululuvululu? Au mnaita back tatu atandike? Acheni uthengerenyuma bana! Mijitu mingine ovyooooo!
 
Ni Great sinker alepost hii Makitu???
jf is never boring ndg. Nae ni 'sinker'. Kaacha ku valishwa na mkewe chumbani, anavalia sebuleni aliko dada wa kazi, halafu anamlaumu mkewe! Wonderz never cease
 
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?
MKama mdada wa Nyumbani anaingia hadi Chumbani kwenu, nina walakini nanyi coz inanipa picha kwamba yawezekana kuna kinachotendeka wakati mke wako hayupo na hata yeye anaweza akawa na mashaka nawe ndo maana amereact hivyo.
 
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?
Kama mdada wa Nyumbani anaingia hadi Chumbani kwenu, nina walakini nanyi coz inanipa picha kwamba yawezekana kuna kinachotendeka wakati mke wako hayupo na hata yeye anaweza akawa na mashaka nawe ndo maana amereact hivyo.
 
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?
Acheni kujidhalilisha, mambo yenu ya kufuliana na kuonyeshana Vyupi ndo mnatuletea, kweli????????????? Acheni hizo
 
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?

Kwani ni masihara ? Mbona anayataka mwenyewe huyo bibie!
 
Mamsapu wako anaweza kuwa sawa, na kwanini wewe usirudi tena ndani baada ya kumkuta msichana anatenga chai?

Nina uhakika wawili nyie(wewe na msichana wa kazi) mnajuana
 
mm sioni kosa la mwanaume hapo... mwanamke ndo mwenye makosa makubwa mnoo. y amruhusu hg afue nguo za ndani za mumewe na zake pia? au kaka ulioa mwanamke mlemavu? kma mlemavu simlaumu mkeo bt kma n mzima wa viungo vyote timilifu lawama nyingi sanaaa.
 
ningekuwa nafanya kazi za ndani maboss kama nyie ndiyo ningewataka, hizo pichu zenu ningeziweka -----, maana kama nafua pichu na kuwatawaza naweza, wewe na mkeo hamko sawa kwa hilo
 
Kaona kawaida kusema wanafuliwa vyupi na hg wao,ama kweli mazoea........
 
Huyo mkeo ni bure kabisa,sorry for that!!Chupi anaziacha zifuliwe na housegirl??Chumbani kwenu anaingia kufanya nini?Labda mi sielewi,lakini kwangu hausegirl chumbani kwetu hapajui!

Nadhani na maji ya kuoga anakutengea housegirl,siku nyingine na yeye atakuonyesha chupi yake akiwa bafuni amekuletea maji ya kuoga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom