'Kuonyeshana nguo za ndani?!'

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?
 
Ila kiukweli unaonesha haujistahi, hata mimi huchefuliwa na tabia kama zako. Pole yake mkeo!
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Mmmh mkuu umekosea au kubali kosa kama ilikuwa bahati mbaya, lakini huo ni wanga wa mchana. Pili kumbe housegirl ndo anafua chupi na kutandika kitanda, mmmh pole yenu.

Badilikeni kwa kweli, nyote wawili
 
Waswahili wanasema LISEMWALO LIPO NA KAMA HALIPO.....
 
yani ndo nyie mnaowapa ma housegirl chupi wafue acheni izo sio vuzuri mnadhalilisha utu wa mtu bana
 
Kweli mkeo ana haki ya kuhoji hayo?

Kwani kuna tatizo gani kuvalia chumbani au kujikagua kabla ya kutoka chumbani?

Me nafikiri ina bidi ubadili tabia hakuna mwanamke ambaye ange furahishwa na hicho kitendo.
 
umetunga, otherwise haupo sawa kabsaaaaa! umepost nini hiki sasa, bnafc hata gfriend wangu kufua nguo zangu za ndan ni kwa vile anapenda yeye ila bnafc naona kama namnyanyasa! je iweje kwa house gal! nimemaindi 4 the 1st tym.
 
Hapo mkeo amekosea angekupeleka wodi ya vichàa kwanza, halafu ufanyiwe maombi ya kutosha mchana na usiku mpaka huyo pepo mchafu akutoke.
 
yani ndo nyie mnaowapa ma housegirl chupi wafue acheni izo sio vuzuri mnadhalilisha utu wa mtu bana

Jamani hata chupi ikionekana ikiwa mwilini bado utaambiwa umekaa uchi? Kumbe hata mtu mwingine akiishika na kuifua napo utakuwa umekaa uchi?

Ilikuwa bahati mbaya tu nami nilitania tu lakini imekuwa "inshu"
 
mmh kazi kwelikweli ni kwa vile mmezoea kufanyiwa kila kitu na sisi ila kiustraabu unatakiwa ufue ch*** yako mwenyewe
 
mh makubwa...

binti anawatandikia kitanda,

anawafulia chup!!!???
 
Dah! Yaani hii mada nilichokipata kutoka kwako ni kufuliwa chupi na kutandikiwa kitanda na hgirl... What a shame!!!
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?
Mkuu kwanini Mkeo anaruhusu Housegeli kufua nguo zako za ndani na kuingia chumbani kwako na kukutandikia kitanda? Any way itakuja kukogharimu kwani siku moja utaingia chumbani na Hougeli bila kujua kuwa upo antaingia na kukuta upo naked ndio utakapojua Mkeo ni mtu wa aina gani
 
kweli watu wanafundika nini kama hata kitanda hamjui kutandika lo anachukia nini na anajua mpaka size na rangi za chupi za baba na ziko ngapi lo mpaka saizi makubwa haya ndo matokeo ya kumuingiza dada mpaka chumbani lo ngoja nikaanike za dad nani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom