'Kuonyeshana nguo za ndani?!'

Nyie wote ni mapururu! Mnafuliwa hadi nguo za ndani? Surely unakula huyo binti, mi nakushauri uache hiyo tabia mara moja!
Majukumu mengine mnajifanya kuwapatia wafanya kazi wenu Wa ndani, sijui ni uvivu au ni kujifanya mko busy, sijui ni nini........ Duh! Afu kwanza kwa Maelezo yako mkeo ni jobless!
 
Mmmh mkuu umekosea au kubali kosa kama ilikuwa bahati mbaya, lakini huo ni wanga wa mchana. Pili kumbe housegirl ndo anafua chupi na kutandika kitanda, mmmh pole yenu.

Badilikeni kwa kweli, nyote wawili

Afu hata haogopi kusema hadharani!
Ila umemjibu mkeo sawasawa! Kama hgeli anawafulia vyupi na anawatandikia kitanda, hata ukimuonesha chupi hamna neno!
 
Mh poleni mana si jambo jema kufanyiwa vitu kama hivyo na h/gal mnajidhalilisha
 
dume gani unatuabisha wanaume
yaani unafuliwa chupi na binti wa kazi what a shame aisee bora hata usingeandika.
huo ni unyanyasaji wa kijinsia, hata mkeo hatakiwi kukufulia chupi ni tabia za kizamani na chafu za kujikweza kijinga
dunia imebadilila binadamu wote sawa, unapooga kwa nini usifue hapo hapo bafuni?
we utakuwa sio mwanaume uliekamilika kidume/ shame shame shame.
 
Mhh vyupi vyupi. Ni ajali tu shem ila mwambie mumeo asirudie tena. Na wewe shem kwa nini unampangia dada kazi za chumbani mwenu na? Ingawa kaja hapa na tatizo lake ila limezaa kesi mpya. Why doesn't you wash ur husband's vyupi? No dada in room again
 
Housegirl anafua chupi na kutandika kitanda, mkeo kazi yake nini?eti ngoshwe?
 
Last edited by a moderator:
Nyie wote wawili siyo wastaarabu,wewe na huyo mkeo.
Mkeo kwa nini ampe house girl nguo zako tena za ndani azifue, na kumruhusu kuingia chumbani kwenu si busara na jambo la kutandika kitanda chenu housegirl, ni utumwa huo.
Badilikeni
 
Maadili Yameporomoka Baada Ya Mke Kumtandikia Mumewe Kitanda Mambo Yamebadilika Amekuwa Mfanyakazi Wa Ndani Amfanyie Kazi
 
Mhh vyupi vyupi. Ni ajali tu shem ila mwambie mumeo asirudie tena. Na wewe shem kwa nini unampangia dada kazi za chumbani mwenu na? Ingawa kaja hapa na tatizo lake ila limezaa kesi mpya. Why doesn't you wash ur husband's vyupi? No dada in room again

Nimeipenda hii ya maimuna
 
Jamani hata chupi ikionekana ikiwa mwilini bado utaambiwa umekaa uchi? Kumbe hata mtu mwingine akiishika na kuifua napo utakuwa umekaa uchi?

Ilikuwa bahati mbaya tu nami nilitania tu lakini imekuwa "inshu"

Haya majina ya Ngoswe na Ngoshwe mko na shida sana na wake zenu! Kila mwezi lazma mweke ki2ko hapa! Sasa nawe na mkeo hamjickii vibaya kutandikiwa na kufuliwa uchafu wenu? To some extent ulikuwa sawa cuz km hausgal huwa anaingia mpaka mahali penu pa siri, anafua, anatandika, so alishaziona sana, cku c nyingi nae ataanza kuiona naniliu cuz vingne vyote alishaviona! Mkeo abadilike cuz seems yeye ndo kajisahau majukumu yake km mke kutandika na kukukagua kabla hujatoka...! Nawe....seems some text missing in ur brain! Teh!
 
ww na mkeo hamjatulia, h/gelu tu ndo mjanja na kwa mtiririko huo kuna breaking news itatokea karibuni, poleni.
Cha kujadili hapo sio kuonekana nguo ya ndani, bali kufuliwa nguo za ndani na kutandikiwa kitanda na h/girl.
Mimi kila ninapooga nafua yangu, mbona kitu rahisi tu, kwani ww mwenzangu kabla hujaoa ulikuwa unafuliwa na nani, au living standard imebadilika baada ya kuoa, hata kutandika kitanda jamani, au mkeo kilema nini?
 
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?

Pole kwa mkeo ila kufuliwa chupi na kutandikiwa kitanda na housegirl mmm sio kabisa, mwambie mkeo aache uvivu hata kama utaibia kwa housegirl itakuwa kayataka mwenyewe.
 
Kumbe ni nyie mnayewapa wasichana wafue nyupi zenu eeh!

Umeona eeh?? Ndio haya tulikuwa tunasema... yaani msichana aone chupi yako na uchafu huoni aibu...nooma jamani!!! Dah... huyo mkewe nae analalamika nini kama tayari msichana keshaona chupi za mumewe zilizo chafu?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom