Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Wakati tukielekea katika kumbukumbu ya kifo cha kipenzi cha watanzania wengi hayati Edward Moringe Sokoine naona mheshimiwa Lowasa yumo akimwelezea marehemu alivyokuwa
1. Kuna umuhimu wa Lowasa kuwemo? Hakuna viongozi wasafi wanaoweza kumsemea huyu mpendwa wetu?
2. Hilo tangazo nani analilipia? Kama ni serikali kwa nini atumie pesa ya walipa kodi kujisafisha?
Kwangu mi naona ni sawa na kuchanganya biskuti na matofali na kuweka ndani ya boksi.
Mbona Lowassa apewe nafasi ya kumsemea kiumbe wa watu ambaye hakuwahi kufikiria watanzania wanahitaji kuibiwa?
Kwanini TBC1 wanaonekana kumpa coverage kubwa Lowassa?
director wa TBC anakuwa appointed na nani? is it possible kwa yeye kufanya kitu kinyume na bosi wake, ili hali wanajua kuwa Mhando alifukuzwa TBC kwa makosa ambayo CCM hawakuyataka?
guys think! you are wasting time to discuss about EL....na mko kimya kwa Kikwete kuzungumzia lami!!!!
poor tanganyikan....
ccm watawachezea hivi hivi