Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
Tayari nimeliweka webcam apa, unaambiwa kapita nzi tu kwenye webcam basi mjombaake kloro kasimama yeye kule sehem za hatari
teh teh teh. mwaaaaaah.
Tayari nimeliweka webcam apa, unaambiwa kapita nzi tu kwenye webcam basi mjombaake kloro kasimama yeye kule sehem za hatari
Unachakachua sredi.
sasa CUTE inahusiana vipi na mada ya sredi?
gfsonwin Sinimeisha kueleza jamaa ana dada zake wameolewa, kama mama yake anamatatizo nadhani wanamfata mama yao kwa kaka yao....Sijui kwa kweli itabidi nikimuona nimulize kama wanakuja kwake siku mama yake yuko katika hali hio.fazaa kwani huyu mama wakati anawazaa hawa watot hakuwa na boma?yaani mji wake? aende akake huko huduma zimfuate. hivi anataka akae na mwanae amnyime binti wa watu kuufaid muhogo.....lol. Manake bwana raha ya muhogo uugunie kidogo sasa uko na mama mkwe hapo utaweza kutoa mguno? asimchoshe bwana. Hata kama ni mgonjwa amuajirie mfanyakazi.
nikuulize swali hivi huyu mama akipata shida za kike au ugonjwa kama mkamwana hayupo kijana atamuogesha mama yake? sasa asijitwike mzigo mzito kuliko yeye.
Point taken tamfikishia :A S shade:kwanza kwa nini anaishi na mama yake?
Hana mume au mume kafariki?
Je yeye ni mtoto wa pekee?
Tabia ya mama yake ikoje?(hata kama anampenda vipi mama yake, kama ni mkorofi ndani ya moyo wake anajua)
je kwa nini mama yake na mkewe hawapatani? Je mke ana tabia gani?
Akijua tabia ya mke, na tabia ya mama yake ndio ataweza kusolve hili tatizo........ Na anapaswa kukisolve kama mwanaume aliyepevuka si kulalia upande mmoja.....
CUTE ameshaingia kwenye himaya zangu
lol hio yako kali...,amtafutie mama pa kwenda....
Mapema hivi umericover kile kibuti
somtime tusiwe tunawaendekeza wanawake. Mbona ye ndugu zake anawasaidia hata kwa kuiba? Mi wa kwangu nilishamwambia you can not be superior to my mother! Dada zangu naweza nikakusamehe.
u will be fine worry not trust meYes my friend. No more pain... But kibuti noma usipime .. I was kinda of going crazy
we mkali jamaniwanawake wa siku hzi hawana nidham,,,,,piga chin ,,nilipokuoa ulijua nimeanguka juu ya mti,,,,nimezaliwa at,,,unataka nipate laana,,utalazimika kuwaheshim wazazi wangu,,si ombi hutaki kwende,,kabla jogoo hajawika,,,umchezeee mama yangu eti naleta mjadala////mama yangu sio wifi yako,,,,,,,utaondoka,,,,,:spy:
hapo nakubaliana na ww mia ya mia uko correctNyalotsi mi nakubaliana na wewe ahandredi pasenti. mke atabaki kuwa mke, hawezi kuwa mama hata mbingu na nchi zikutane, tatizo ni huu uzungu ambao tunauiga bila kuchanganya na za kwetu, maana ukisema hivyo watakwambia mfumo dume, lakini ndiyo reality.
mke wangu nishamwambia kuwa linapokuja suala la wazazi hatuta compromise, lazima yeye ashuke kwa wazazi wangu au mimi nishuke kwa wazazi wake, zaidi ya hapo hakuna ndoa.
eti fikiria, mama amesota na mimi tangu tumboni mpaka nikafika 30yrs, nikakutana na wewe kitaa nikakuoa, kesho unaniambia mtimue mama yako siwezi kukaa naye, Haaaaaaa!!! over my dead body!! hapo kifupi ni utakuwa hutaki kukaa na mimi. wangekuwa ndugu wengine, tunaweza kujadili tuone muafaka, lakini not to my parents
Kaaah! na mimi leo naenda kuongea na mama Kloro, viziwa vyangu vidogo,
nitavaa zake na kuweka visponji kwa ndani. kudumisha upendo.
sikubali waifu wa jirani afunike. itakua chezeya Ero!?
sina mood leo nzuri ila me and you ni mwendo wa pm tu mana huku uwanjani wanga wengi hawakawii kuniharibia tena:focus:ivuga
thank you CUTEu will be fine worry not trust me
:focus: tupe maoni yako juu ya topic sasa