Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,385
nani yuko pande za mlimani city?
Kuoa kazi kwel kwel. Et m2 anikatalie kuish na mama angu! Bora nimwache yeye nikaish na mama.
hili swala la mama mkwe naona siku hizi linaanza kuwa janga la kitaifa.....
nani yuko pande za mlimani city?
Hiyo inaitwa ndoa ya kutwa, yaani day marriage. Hapa kula, kulala kwenu.
Mwaaaaah. Mwaaaaah. Mwaaaaah. loya Kloro my loya. Kuna lingine unataka?
hii ndoa itakua kali ya milleniaHiyo inaitwa ndoa ya kutwa, yaani day marriage. Hapa kula, kulala kwenu.
lol hio yako kali...,amtafutie mama pa kwenda....
Kama mlivyo ona hapo juu ya kichwa cha habari...kuna rafiki yangu ana matatizo na mke wake kamuambia hataki kuishi na mama yake huyo mme wake nyumba moja, na huyo mama yake hana pakwenda...Kaomba ushauri kwangu, mimi nimempa ushauri mzuri sana kama huu; Kila mmoja aishi na wazazi wake, na mke wake awe anakuja kwake anampiga vitu akisha maliza kila mmoja anarudi kwao, yeye anabaki na mama yake, na mke wake anarudi kwa wazazi wake...Mke akiwa kakumbuka kamchezo kachumbani anamuita wanacheza wakisha maliza kila moja anarudi kwao...Nilivyo muambia hivyo kaniambia eti ushauri wangu sio mzuri nyie mnge mpa ushauri gani :biggrin:
somtime tusiwe tunawaendekeza wanawake. Mbona ye ndugu zake anawasaidia hata kwa kuiba? Mi wa kwangu nilishamwambia you can not be superior to my mother! Dada zangu naweza nikakusamehe.