fazaa
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 2,984
- 1,026
Kama mlivyo ona hapo juu ya kichwa cha habari...kuna rafiki yangu ana matatizo na mke wake kamuambia hataki kuishi na mama yake huyo mme wake nyumba moja, na huyo mama yake hana pakwenda...Kaomba ushauri kwangu, mimi nimempa ushauri mzuri sana kama huu; Kila mmoja aishi na wazazi wake, na mke wake awe anakuja kwake anampiga vitu akisha maliza kila mmoja anarudi kwao, yeye anabaki na mama yake, na mke wake anarudi kwa wazazi wake...Mke akiwa kakumbuka kamchezo kachumbani anamuita wanacheza wakisha maliza kila moja anarudi kwao...Nilivyo muambia hivyo kaniambia eti ushauri wangu sio mzuri nyie mnge mpa ushauri gani :biggrin: