Kuna rafiki yangu kaoa.

hapo inabidi mke awe mke na mama awe mama.....
Mama asiingilie maisha ya ndani ya mwanae na mkewe......
Na mke ampende mama mkwe na kumchukulia kama mzazi, kumoa huduma inayostahili........

Ila mama akiact kama nyumba yake na mke akitzka kutake control ya nyumba yake hapo matatizo huanza...........
Mke akiwamchoyo na kutomjali mama mkwe napo matatizo huanza......

hapo umenena
 
klorokwini loya my loya nimeku pm.. mie mamayako naendelea kuishi nae.

hadi kanga tunavaliana na sokoni tunashikana mikono.
Umeona eeh? unajua wanawake ukiwajulia bana ni viumbe watam sana. Nashangaa watu wanalalamika lalamika tu kama serikali ya uganda. Huyu waifu wa jirani apa anavaliana mpaka sidiria na mamkwe wake na wanazifua kwa zamu. Chezeya waifu wa jirani wewe
 
Kuoa kazi kwel kwel. Et m2 anikatalie kuish na mama angu! Bora nimwache yeye nikaish na mama.

Kwani wewe ni he? Anyways, ila ujue ukishakua asilimia kubwa ya mahitajio yako hayatatimizwa na mama wa wewe. Naye mamako alikuwa na mumewe kwa muda wote, so ni sharti utamuacha mamako na kuambatana na mkeo/ mumeo nanyi mtakuwa mwili mmoja.
 
Umeona eeh? unajua wanawake ukiwajulia bana ni viumbe watam sana. Nashangaa watu wanalalamika lalamika tu kama serikali ya uganda. Huyu waifu wa jirani apa anavaliana mpaka sidiria na mamkwe wake na wanazifua kwa zamu. Chezeya waifu wa jirani wewe

Kaaah! na mimi leo naenda kuongea na mama Kloro, viziwa vyangu vidogo,

nitavaa zake na kuweka visponji kwa ndani. kudumisha upendo.

sikubali waifu wa jirani afunike. itakua chezeya Ero!?
 
Kaaah! na mimi leo naenda kuongea na mama Kloro, viziwa vyangu vidogo,

nitavaa zake na kuweka visponji kwa ndani. kudumisha upendo.

sikubali waifu wa jirani afunike. itakua chezeya Ero!?
hehehe hauhitaji visponji, nitafanya ile natural busta niviongeze ongeze , nakusubiria na boxer tu apa. nyambaaf zangu
 
heheh meseji sent .
Lingine tutajadili chumbani, apa wavimba macho wataturipoti kwa mods na mawivu yao ya kizaire

watajibeba. mods wenyewe hawa washamba tu wala sio waelewa. walini ban kwa uonevu.

labda tu ile ID yako ya umod ninayoipendaga. twenzetu pm.
 
watajibeba. mods wenyewe hawa washamba tu wala sio waelewa. walini ban kwa uonevu.

labda tu ile ID yako ya umod ninayoipendaga. twenzetu pm.
Sasa kwanini haukuripoti kwangu walipokuban? wakikuzingua nistue. Faza wangu ana share maikrosoft office. Halaf leo nina mzuka wa kuPM kwa kitaliano tu. Kaa na dikshineri kabisa
 
ila mama mkwe kukaa na mkwe wake inaletaga matatizo sana labda wawe wanaelewana sana na huyo mkeo ndio itawork out la sivo itakua kosovo na nato daily
 
Sasa kwanini haukuripoti kwangu walipokuban? wakikuzingua nistue. Faza wangu ana share maikrosoft office. Halaf leo nina mzuka wa kuPM kwa kitaliano tu. Kaa na dikshineri kabisa

niliwaonea huruma. wana hela za kuokoa jahazi wale? sidhani!

kwenye pm chagua option ya web cam, hata ukiongea kichina nitaelewa

vitendo vyote ulivoonesha. come this way papito raha tujipe wenyewe.
 
niliwaonea huruma. wana hela za kuokoa jahazi wale? sidhani!

kwenye pm chagua option ya web cam, hata ukiongea kichina nitaelewa

vitendo vyote ulivoonesha. come this way papito raha tujipe wenyewe.
Tayari nimeliweka webcam apa, unaambiwa kapita nzi tu kwenye webcam basi mjombaake kloro kasimama yeye kule sehem za hatari
 
Back
Top Bottom