Kuna rafiki yangu kaoa.

Unachakachua sredi.
sasa CUTE inahusiana vipi na mada ya sredi?

Mie namshangaaaaa. wenzie twazungumzia mama mkwee analeta za Cute hapa.

Mama Kloro nae tumuunganishie web cam tumpigie baba Kloro kule

Microsoft akomyuniketi na mkewe? tusimwache mama lonle.
 
MAMA MKWE AKAE SEHEMU YAKE LABDA KAMA KWELI HANA SEHEMU AKIJA INAKUA POA NA ASIWE NA GUBU TU MANA HAPO NDIO UBAYA HUANZA
ila mm sioni tabu akija kukaa na mm mradi tusiingiliane tu .............atulie ale bataaaaaa tu sio maneno kila kukicha.
mana kuna mmoja alileta uzi mama mkwe anacheck hadi makabati na wallet sasa hapo inbakua sio tena
 
fazaa kwani huyu mama wakati anawazaa hawa watot hakuwa na boma?yaani mji wake? aende akake huko huduma zimfuate. hivi anataka akae na mwanae amnyime binti wa watu kuufaid muhogo.....lol. Manake bwana raha ya muhogo uugunie kidogo sasa uko na mama mkwe hapo utaweza kutoa mguno? asimchoshe bwana. Hata kama ni mgonjwa amuajirie mfanyakazi.

nikuulize swali hivi huyu mama akipata shida za kike au ugonjwa kama mkamwana hayupo kijana atamuogesha mama yake? sasa asijitwike mzigo mzito kuliko yeye.
gfsonwin Sinimeisha kueleza jamaa ana dada zake wameolewa, kama mama yake anamatatizo nadhani wanamfata mama yao kwa kaka yao....Sijui kwa kweli itabidi nikimuona nimulize kama wanakuja kwake siku mama yake yuko katika hali hio.
 
kwanza kwa nini anaishi na mama yake?
Hana mume au mume kafariki?
Je yeye ni mtoto wa pekee?

Tabia ya mama yake ikoje?(hata kama anampenda vipi mama yake, kama ni mkorofi ndani ya moyo wake anajua)

je kwa nini mama yake na mkewe hawapatani? Je mke ana tabia gani?

Akijua tabia ya mke, na tabia ya mama yake ndio ataweza kusolve hili tatizo........ Na anapaswa kukisolve kama mwanaume aliyepevuka si kulalia upande mmoja.....
Point taken tamfikishia :A S shade:
 
wanawake wa siku hzi hawana nidham,,,,,piga chin ,,nilipokuoa ulijua nimeanguka juu ya mti,,,,nimezaliwa at,,,unataka nipate laana,,utalazimika kuwaheshim wazazi wangu,,si ombi hutaki kwende,,kabla jogoo hajawika,,,umchezeee mama yangu eti naleta mjadala////mama yangu sio wifi yako,,,,,,,utaondoka,,,,,:spy:
 
somtime tusiwe tunawaendekeza wanawake. Mbona ye ndugu zake anawasaidia hata kwa kuiba? Mi wa kwangu nilishamwambia you can not be superior to my mother! Dada zangu naweza nikakusamehe.

Nyalotsi mi nakubaliana na wewe ahandredi pasenti. mke atabaki kuwa mke, hawezi kuwa mama hata mbingu na nchi zikutane, tatizo ni huu uzungu ambao tunauiga bila kuchanganya na za kwetu, maana ukisema hivyo watakwambia mfumo dume, lakini ndiyo reality.
mke wangu nishamwambia kuwa linapokuja suala la wazazi hatuta compromise, lazima yeye ashuke kwa wazazi wangu au mimi nishuke kwa wazazi wake, zaidi ya hapo hakuna ndoa.
eti fikiria, mama amesota na mimi tangu tumboni mpaka nikafika 30yrs, nikakutana na wewe kitaa nikakuoa, kesho unaniambia mtimue mama yako siwezi kukaa naye, Haaaaaaa!!! over my dead body!! hapo kifupi ni utakuwa hutaki kukaa na mimi. wangekuwa ndugu wengine, tunaweza kujadili tuone muafaka, lakini not to my parents
 
wanawake wa siku hzi hawana nidham,,,,,piga chin ,,nilipokuoa ulijua nimeanguka juu ya mti,,,,nimezaliwa at,,,unataka nipate laana,,utalazimika kuwaheshim wazazi wangu,,si ombi hutaki kwende,,kabla jogoo hajawika,,,umchezeee mama yangu eti naleta mjadala////mama yangu sio wifi yako,,,,,,,utaondoka,,,,,:spy:
we mkali jamani
 
Nyalotsi mi nakubaliana na wewe ahandredi pasenti. mke atabaki kuwa mke, hawezi kuwa mama hata mbingu na nchi zikutane, tatizo ni huu uzungu ambao tunauiga bila kuchanganya na za kwetu, maana ukisema hivyo watakwambia mfumo dume, lakini ndiyo reality.
mke wangu nishamwambia kuwa linapokuja suala la wazazi hatuta compromise, lazima yeye ashuke kwa wazazi wangu au mimi nishuke kwa wazazi wake, zaidi ya hapo hakuna ndoa.
eti fikiria, mama amesota na mimi tangu tumboni mpaka nikafika 30yrs, nikakutana na wewe kitaa nikakuoa, kesho unaniambia mtimue mama yako siwezi kukaa naye, Haaaaaaa!!! over my dead body!! hapo kifupi ni utakuwa hutaki kukaa na mimi. wangekuwa ndugu wengine, tunaweza kujadili tuone muafaka, lakini not to my parents
hapo nakubaliana na ww mia ya mia uko correct
 
Kaaah! na mimi leo naenda kuongea na mama Kloro, viziwa vyangu vidogo,

nitavaa zake na kuweka visponji kwa ndani. kudumisha upendo.

sikubali waifu wa jirani afunike. itakua chezeya Ero!?

hahahahaaaaaa.... nimekukubali, mwe sijui nimekuchelewea wapi weye bnti maana adimu sana kama wewe.. hongera kloro umeibua kitu cha aina yake...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom