Naomba msaada anaejua dawa ya kuacha kukoroma please
Wapendwa hope doing great,
Nahisi hili tatizo wengi tunao lakini kwa baadhi yetu it's too much unakuata watu mmelala lakini mwenzenu anakoroma kama trekta au mashine ya kupasua mbao.
Baadhi ukiwageuza wanaacha lakini kwa wengi hakuna kruuuuuuu......krooooooooo..krrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr krrooookruruuuukokookoo....yaani sijui nieleze vipi majirani hawalali kabisa. Sasa wadau tuelimishane,
Kukoroma inasababishwa na nini?
Dawa yake ni ipi?
Je kuna baadhi ya vyakula/shughuli/dawa au mazingira yanayochangia tatizo hili?
Kuna namna yeyote ya kuepuka/kupunguza tatizo hili?
Thank you kwa ushauri wenu wan JF GREAT PLATFORM!!!1
Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyumaWakuu naombeni kujua nini chanzo cha kukoroma usiku wakati upo usingizini, na je nini naweza kufanya kukomesha hali hii kwa maana ya kwamba jee kuna dawa yeyote ya kuzuia hii hali??
Ni hayo tu!
Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma
na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea mtu hadi mtu. Tumia hiyo dawa yangu kisha uje hapa utupe feedback Mkuu.@Kifaranga
wewe unaiona ni picha wakati ni dawa shauri yako. Wewe ione kuwa ni picha inayochekesha wakati wenzako wanapona.hiyo picha inachekesha