Kwa wale wanene ni muhimu kupunguza uzito kwani huondoa kukoroma kwa zaidi ya % 80.
Kwa wale wanene ni muhimu kupunguza uzito kwani huondoa kukoroma kwa zaidi ya % 80.
Usithubutu kutembelea mikumi,simba lazima wajiulize '' huyu ni nani tena analia kama sisi?'' kitakachofuata hapo......
Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje
mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma
na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma.
Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea
mtu hadi mtu.Mkuu.@Devil's Driver Ukipona uje utupe Feedback
Tafuta mtu akuite jina ambalo si la kwako. Mfano kama unaitwa John, ukianza kukoroma tu mwambie akuite jina lolote ambalo si lako mfano Masoud ukiitika tu ujue umepona.
Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyumaYapata miaka 3 sasa tangu tatizo la kukoroma kuzidi kukuwa na Kuwa kero Mara nikiwa popote pale na hasa ugenini. Wana JF acheni utani mnisaidie mwenzeni sina raha Mie.
Kwa watoto mara nyingi husababishwa na tezi za aina mbili inaweza kuwa(tonsil) na (adenoid) hizi tezi huvimba pindi zinaposhambuliwa na wadudu kwa mfumo wa hewa na kisha kunywea pindi utumiapo dawa.lakini wakati mwingine hushindwa kunywea na kusababisha kupunguza njia ya hewa na hivyo mtoto hukoroma.hivyo basi mpeleke mtoto kwa Mganga wa koo amchunguze na kisha kama kuna umuhimu wa operation watawaambiaNi uongo. Mwanangu si mnene ila anakoroma si kawaida.
Kwa watoto mara nyingi husababishwa na tezi za aina mbili inaweza kuwa(tonsil) na (adenoid) hizi tezi huvimba pindi zinaposhambuliwa na wadudu kwa mfumo wa hewa na kisha kunywea pindi utumiapo dawa.lakini wakati mwingine hushindwa kunywea na kusababisha kupunguza njia ya hewa na hivyo mtoto hukoroma.hivyo basi mpeleke mtoto kwa Mganga wa koo amchunguze na kisha kama kuna umuhimu wa operation watawaambia
Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyumahabar wana jamii forum,kwa muda mrefu nina tatizo la kukoroma sana usiku ambako ni tofauti kabisa na kukoroma kwa kawaida baadh ya wenzangu husema nina unguruma,tukio hli limekua ni kelo na ninaomba ushauri au tiba ya kukabiliana na suala hili