Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Ndugu zangu aidha ni ugonjwa au laah, lakin inanikosesha raha kwani mpenzi wangu kila muda wa kulala huwa anakoroma sana hadi kero, kwa Wanaofahamu dawa naomba mnifahamishe.
 
nilikuwa na tatizo kama hilo, mpaka nyumba za jirani walikuwa hawalali, cha kufanya mwambie aanze mazoezi ya kucheza na ulimi, awe anauvuta ulimi kwa ndani mpaka ufike mwisho, then awe anautoa nje wote mpaka asikie mishipa fulani inavutika kwa ndani, afanye zoezi hili mara kwa mara, kila siku! baada ya mwezi utaanza kuona mabadiliko makubwa sana, msisitize kufanya hivyo! asante
 
Ndugu zangu aidha ni ugonjwa au laah, lakin inanikosesha raha kwani mpenzi wangu kila muda wa kulala huwa anakoroma sana hadi kero, kwa Wanaofahamu dawa naomba mnifahamishe.

Aisee hili tatizo hata mimi ninalo
Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma

na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea mtu hadi mtu.Mkuu.@tutuza na ndugu
Captain Phillip
 
nawashukuru sana,nitamwambia na tutafanyia kaz ushauri wenu! Mungu awabariki
 
Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma

na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea mtu hadi mtu.Mkuu.@tutuza na ndugu
Captain Phillip

Thanks Mkuu nishaanza tayari nikifanikiwa ntarudi hapa kuleta majibu
 
Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma

na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea mtu hadi mtu. Tumia hiyo dawa yangu kisha uje hapa utupe feedback Mkuu.@RUGE12

Unapoutoa ulimi nje,unauacha nje kwa muda gani ndipo unarudisha ndani?
 
Uende pia hospitali ukacheki moyo, unaweza kuwa na tatizo. Otherwise, kama unakunywa pombe hebu jaribu kuacha uone utakavyolala kama mtoto mchanga.
 
Habari wapendwa nilikuwa naomba mnisaidie dawa/tiba ya kuacha kukoroma
TIBA YA MBADALA YA KUACHA KUKOROMA

Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma

na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea mtu hadi mtu.
Tumia kisha uje unipe Feedback.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom