Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,422
Liacheni jembe lipge KAZI..
Nnnachojua mimi kila mchapa kazi kwa bidii huwa anakuwa na maadui wengi sana hasa linapokuja suala la kuwa mtendaji na kuacha siasa
Magufuli alipoanza ishu ya mabango ya barabarani mlimsakama sana tena wengine mpaka mlikimbilia kwa mukulu yule handsome wa pale magogoni kwenda kumchongea na sasa mmeanza tena na huyu
ushauri wangu kwa mwakyembe ni kufuata formula moja
ZIBA MASIKIO KAZA SURA mwisho wa siku watakupenda tuuuu ..ndo zao MAGAMBA