Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

Liacheni jembe lipge KAZI..
Nnnachojua mimi kila mchapa kazi kwa bidii huwa anakuwa na maadui wengi sana hasa linapokuja suala la kuwa mtendaji na kuacha siasa

Magufuli alipoanza ishu ya mabango ya barabarani mlimsakama sana tena wengine mpaka mlikimbilia kwa mukulu yule handsome wa pale magogoni kwenda kumchongea na sasa mmeanza tena na huyu
ushauri wangu kwa mwakyembe ni kufuata formula moja
ZIBA MASIKIO KAZA SURA mwisho wa siku watakupenda tuuuu ..ndo zao MAGAMBA
 
Ahaaa, sasa humu JF, kuna watu wanaandika madudu, sijui huwa wanatumwa? Sasa hivi Clouds inaendela, baada ya hii Taarifa ya habari. Msikilizeni Mwakyembe mwenyewe. Msibanduke bado kidogo tu.
 
Mwaki kama huo moto ni wa kweli, basi umwagie petrol kidogo ili uongezeke!
 
University of Dar es SalaamBachelor of Laws (LL.B) Hons19801983GRADUATE
University of Dar es SalaamMaster of Laws (LL.M)19841986MASTERS DEGREE
University of Hamburg (FRG)Master of Laws (LL.M)19901991MASTERS DEGREE
University of Hamburg (FRG)Doctor of Laws19921995PHD
Kwa Elimu iyo ndo ashindw`e tafsiri mkataba wa AIRBUS
 
sasa kama chizi aliambiwa na mkuu wa magogoni huo mkataba yeye angefanyaje?kama mzee wa ukurutu anao huo ubavu basi amguse huyu kiongozi wa mafisadi a.k.a.mwanaasha kwa sababu ni lazima hapo kulikuwa na fungu lake
 
Kiukweli kwa jinsi Mzee Mwakyembe, Balozi Kagasheki na watendaji wanavyoanza kufunguka CDM waandae agenda nyingine haraka sana. Ama sivyo watajikuta wanaimba zilipendwa wakati wananchi wanageukia Zinapendwa!
 
Sasa hivi wanaume wenye uchungu na nchi hiii katika serikali ya J.K. tumewapata wanne, wa kwanza Mwakyembe, wa pili Kagasheki, wa tatu ni Sita na wa nne ni Magufuri japo aliteteleke katika suala la kuuza nyumba za serikali. Lakini angarau hao kinaonekana wanachokifanya.

Mwakyembe watanzania tunasubiri TAZARA, Reli ya kati na Bandari hasa hiyo kampuni ya akina Karamagi
 
kama yupo mwingine aliyeibua ufisadi wa Airbus 320 kwa kiasi nilichofanya mimi unaweza kumtaja.

Nani? zomba? Au nani!!??
Hawa zomba type ni hovyo tu,
Kumlaumu Mwakembe hawawezi, kumsifia Chizi hawawezi, hovyo tu!!
 
Last edited by a moderator:
ile ni aina ya nguvu ya soda maana mabango yalisitishwa kuondolewa bomoa bomoa hifadhi ya barabara iliiiiiisitishwa ama ungekuta TANESCO Makao Makuu yakiwa historia,hata ahadi ya JK 2006-10 ya kutathmini royalty ya 3% KWENYE MADINI ilienda na mvua za mafuriko.Hebu fikiri kesi ya wazi ya meli ya samaki wa kuibwa hapo bahari hindi ilichukua miaka mingapi?
Muda utawaonesha mlichagua mtoto aliyezaliwa bila kichwa akawekewa kifuu juu ya shingo kuwa mangi wa t/danganyika!
 
Kiukweli kwa jinsi Mzee Mwakyembe, Balozi Kagasheki na watendaji wanavyoanza kufunguka CDM waandae agenda nyingine haraka sana. Ama sivyo watajikuwa wanaimba zilipendwa wakati wananchi wanageukia Zinapendwa!

Ila kidole kimoja hakivunji chawa.....
 
Sasa hivi wanaume wenye uchungu na nchi hiii katika serikali ya J.K. tumewapata wanne, wa kwanza Mwakyembe, wa pili Kagasheki, wa tatu ni Sita na wa nne ni Magufuri japo aliteteleke katika suala la kuuza nyumba za serikali. Lakini angarau hao kinaonekana wanachokifanya.

Mwakyembe watanzania tunasubiri TAZARA, Reli ya kati na Bandari hasa hiyo kampuni ya akina Karamagi

Huwezi kuwa msafi kwenye jalala, mfano magufuli-nyumba za serikali, sita-richmond na mwekyembe - richmond
+ kuficha siri.Kwa ujumla wote kwenye nyinyiemu hakuna mwenye unafuu, kama wanaweza watoke humo kwenye mlofisadi.
 
Te te te! wale waliokuwa wanasema n ukabila waje hapa waseme sasa, huu n upuuziii! nchi haina mwema kila mtu tapeli! kamua mwakyembe wala usiangalie nyuma. we nchi gani hatuna shirika la ndege! we toka mwanza mpaka dar nauli ilikuwa 380,000 mpaka 499,000 kwa precision na 540. wametuharibia ndege yetu ipo hapa mwanza! fukuza wote
 
Jamani.... ya Airbus... si basi sasa ... si tuendelee mbele... au ndio hivyo tuchukue hizo ndio deliverables zako Dr. Mwakyembe... kiongozi mzuri ni yule ana-kubali hali halisi aliyoikuta na kuanza na strategy zake....
 
Hakika ni mwanzo mzuri kwa Hamis Kagasheki na Harison Mwakyembe. Thubutu ya kufanya maamuzi magumu bila kulindana. Safi sana, ila tatizo ni pale mkuu wa kaya au mtoto wa mkulima atakapowaingilia kupunguza speed zao kulinda heshima ya chama. Bado mzee wa Tanesco naye afunguke.
 
mwakyembe anachapa kazi lakini ushauri wake kwa chizi juu ya kupokea malipo ya insurance nje ya account za atcl,hauku-sound ki- professional
 
futa mikataba yote na wafunguliwe mashtaka wahusika wote. tumechoka kuibiwa kila siku. Na kwenye hili hakuna haja ya kumlaumu kikwete bali tuwalaumu watendaji wanaomwangusha kikwete na pia wanaangusha Tanzania.
 
Back
Top Bottom