Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,611
wewe mwenyewe kimeo unaishi kwa nguvu ya boosterMkirua we hujawahi kukutana na kimeo. Bora kutonunua mbuzi kwenye gunia nimuhakikishe kweli ni mbuzi ndo nijitose. Kama mimi ndo nina matatizo hayo mengine. Ila kama najihakikishia niko fit lazima mbuzi nimuone kwa macho