Kuhudumia Mwanaume Kabla ya Kuoana.

Mkirua we hujawahi kukutana na kimeo. Bora kutonunua mbuzi kwenye gunia nimuhakikishe kweli ni mbuzi ndo nijitose. Kama mimi ndo nina matatizo hayo mengine. Ila kama najihakikishia niko fit lazima mbuzi nimuone kwa macho
wewe mwenyewe kimeo unaishi kwa nguvu ya booster

Mimi mwenyewe nimeshangaa baada ya kusoma hii mada ndio maana nikasema kama kuna mwanaume wa hivyo basi si husband material maana hata akikuoa utakuwa mtu wa kupokea amri tu.

Hivi nyumba kubwa mtu anaweza kukulazimisha uanze majukumu ya ndani ya nyumba kama wife?
mie naona ile huwa tunafanya wenyewe kwa kupenda ..unajefeel kupika pika kama utashinda kwa mwenzio
ukiona nyumba chafu utasafisha na mengineyo kibao.

Mkirua we hujawahi kukutana na kimeo. Bora kutonunua mbuzi kwenye gunia nimuhakikishe kweli ni mbuzi ndo nijitose. Kama mimi ndo nina matatizo hayo mengine. Ila kama najihakikishia niko fit lazima mbuzi nimuone kwa macho

Na huu ndo ukweli wenyewe,

Watoto wa kike siku hizi hawakamatiki, kutwa kuchwa wanapisha marie stopes. Ni muhimu kutest kama chaneli zinakamata ili kuepukana na dhahama huko mbele ya safari.

Mkirua we hujawahi kukutana na kimeo. Bora kutonunua mbuzi kwenye gunia nimuhakikishe kweli ni mbuzi ndo nijitose. Kama mimi ndo nina matatizo hayo mengine. Ila kama najihakikishia niko fit lazima mbuzi nimuone kwa macho

thnx mkuu, hata mm siwez kuoa bila kuonja hyseee mana naweza kuoa then nikakuta kumbe mzigo mbovu hapo itakula kwangu!

Hivi nyumba kubwa mtu anaweza kukulazimisha uanze majukumu ya ndani ya nyumba kama wife?
mie naona ile huwa tunafanya wenyewe kwa kupenda ..unajefeel kupika pika kama utashinda kwa mwenzio
ukiona nyumba chafu utasafisha na mengineyo kibao.

FL1, huwa mwanamke halazimishwi kufanya hizo shughuli na bf wake.

Ila wanaume wengi wanakuwa wanawafuatilia magf wao kama wanaweza kutekeleza majukumu yao ya msingi kwa mwanamke wa kiafrika/kitanzania.

Kwahiyo inapotokea mtu ana gf asiyeweza kujishughulisha na hayo majukumu ya msingi kwa mwanamke hapo ndipo utata unapoanzia.

Na ili kutopoteza nafasi ya kuolewa, mwanadada anajikuta anatekeleza majukumu hayo bila shuruti toka kwa bf wake.

WomanOfSubstance;]Kumbe kazi wazijua weye, sasa unataka aje akupikie na kukufualia ya nini? Utamfundisha endapo bahati mbaya hajui.

WOS Usinambie mpaka unafika umri wa kuolewa, binti hajui kupika wala kufua nguo zake. Naona si bahati mbaya bali ni malezi mabaya mtoto wa kike atakuwa amepewa. Mambo ya wazazi kukataa binti wao kuingia jikoni na kumuachia house girl huwa siafikiani nayo. Kwangu mimi hata mtoto wa kiume lazima ajifunze vitu ambavyo ni besics -km kufungua nguo zake, kusafisha chumba na hata kutengeneza chai yake. Akienda huko boarding school au chuo nani atakuwa anamfanyia hayo mambo?

thnx mkuu, hata mm siwez kuoa pila kuonja hyseee nana naweza kuoa then nikakuta kumbe mzigo mbovu hapo itakula kwangu!

Mpatanishi umeona eeehh. Biashara gani ya kuja kutext kama ni mbuzi au jiwe ukiwa tayari mzigo uko nyumbani. Ndo hayo ya kukutana na tatoo ya her first lover kwenye mwili wake. Mambo gani hayo bana

vivian :Ni kama vile wanatufanyia Interview! hapo hujanipata. Hayo nitafanya ukinivisha pete wangu. kama inakushindaa kwaheri

VIVIAN:- Hayo mambo huwa hayalazimishwi mbona yanakuja yenyewe tu? Kama unampenda huyo BF wako utashangaa tu unaondoka nyumabni kwenu/kwako w.end unaenda kwa huyo BF kumsaidia usafi; kupika n.k japo siyo kila mara. S'time utapenda tu kupata mda w.end kuongea mambo yenu ambako si lazima kila mara mtoke out kwenda kula wakati kila kitu kipo ndani. Mpaka nikuvishe pete basi nimelizika na wewe na kujuwa vitu vidogo vidogo kama kupika, usafi na mambo mengine unayaweza. Hata wewe kunikubali kuwa wako wa maisha lazima utakuwa na vitu umeviona kwangu ukanipenda na kulizika na mimi. Kwa hiyo hayo mambo ni two way traffic.

wanawake tusikubali na hii mifumo dume mpaka kny relationship.......
nguo zake afue mwenyewe,kupika tutapika wote alternative days........kuweni real jamani mapenzi gani hayo yanayomfanya mwanamke awe mtumwa wa kumpikia na kumfulia mwanaume under wajibu disguise........???eti utasikia mapenzi mapenzi gani hayo ya upande mmoja??kwa nini isiwe kufuliana..kupikiana bali iwe kumpikia mume,kumfulia mume etc?

jestina; wanawake tusikubali na hii mifumo dume mpaka kny relationship.......

Jestina mambo ya kupika, kufuliwa nguo mwanaume haulazimishwi dada, ni wewe tu kujiamulia na kumwambia huyo mchumba wako/mumeo/Bf kuwa mpeane zamu za kupika, kufua nguo, kupiga deki nk. Akikubali basi, ni jambo jema endelea na furahia mahusiano yako. Akikataa endelea kutafuta huyo anayekubali hayo masharti kwa maana haitakuwa shida huko mbeleni maana utakuwa umempa taarifa mapema. Nadhani ni culture na nature. Sijaona kwenye bible ambapo mwanaume kazi yake mojawapo ni kupika, kufua nk zaidi ya kuhudumia familia na kuhakikisha inapata mahitaji. Tukija kwenye culture yetu sisi waafrica kupika ni kazi ya mwanamke japo mara moja moja mwanaume ukijisikia kuingia jikoni siyo mbaya lakini siyo wajibu.

Ukisema uchukue mfumo wa wenzetu wanaosema wameendelea (Western countries) basi inawezaku kula kwako kutokana na hilo gamba wanaume waa kiafrika waililolivaa la kutenganisha kazi za mwanaume ni zipi na za mwanamke ni zipi. Hata huko pia (in western countries) wanawake wa kutoka africa bado wanapika pia japo mfumo wa fastfood umetawala. Labda kufua ndo wanatumia hizo mashine.

Hapo kwenye Nyekundu sijakupata point yako ni ipi ya mwanaume wa kiafrica kuwa real maana najuwa walivyo ndivyo uanaume wa kiafrica. Asipotimiza wajibu wake wa kuhudumia familia na kui-protect inabidi umkalishe chini umuulize kwa nini hatimiza wajibu wake kama yeye anavyotoka huko kazini na kukuliza chakula kiko wapi japo mara nyingi kitatengwa bila hata kuuliziwa.

Hata mimi nilitaka kuuliza hivo hivo; kuwa real na kuwa fake/pretend katika maisha ya kiafrika ni kupi???

Kuna mabinti wa kiafrika (nafahamiana nao) wanatoka nchi tofauti tofauti ila wanasoma college moja walikuwa wanacheka sana siku moja nikawailza kulikoni? Wakanambia wana rafiki ana boyfriend sijuhi mchumba wa kidhungu. Kijana kawaalika mabinti kwenye birthday dinner ya girlfriend wake ambaye ni class mate wa mabinti kama suprise ya msichana wake. Wamefika huko si wameagiza makulaji na vinywaji vya kutosha. Ilipofika wakati wa kulipa wanashangaa kijana anapitisha mchango kila mtu ajilipie. Walichoka maana yeye amewaalika hawakuwa na mpango wa kula hoteli tena ni birthday ya girlfriend wake. Kila mtu alijilipia including birthday girl.

Hili ni moja kati ya tofauti zetu na wadhungu. Kwa hiyo si sawa kujilinganisha na westerners hata sisi kuna mambo wanafanya ni ya hajabu kwetu. Tuwe proud of our culture si kila cha mdhungu kizuri.

Kwa kifupi kuna mambo ni kweli na mimi nakubali ni mabaya na nitapinga mfumo dume kwa hayo mambo kama kumpiga mwanamke. Ila si support mashindano kati ya mke na mume; boyfriend/girlfriend in the name of mfumo dume.

nyumba kubwa; Kuna mabinti wa kiafrika (nafahamiana nao) wanatoka nchi tofauti tofauti ila wanasoma college moja walikuwa wanacheka sana siku moja nikawailza kulikoni? Wakanambia wana rafiki ana boyfriend sijuhi mchumba wa kidhungu. Kijana kawaalika mabinti kwenye birthday dinner ya girlfriend wake ambaye ni class mate wa mabinti kama suprise ya msichana wake. Wamefika huko si wameagiza makulaji na vinywaji vya kutosha. Ilipofika wakati wa kulipa wanashangaa kijana anapitisha mchango kila mtu ajilipie. Walichoka maana yeye amewaalika hawakuwa na mpango wa kula hoteli tena ni birthday ya girlfriend wake. Kila mtu alijilipia including birthday girl.

Nyumba kubwa:
Tusiende mbali dada tena sisi watz tuna unafuu. Mtu akikualika kwenye harusi/Birthday au sherehe yeyote tuna ile hurka ya kusema huyo ni mgeni na ni wajibu wetu kuudumia. Majirani zetu hapo Kenya niliwahi kukaa nao in one of W.countries wao hilo hawana. Wakikualika kwenye harusi au birthday, nenda umejiandaa mfukoni, lasivyo utaumbuka. Kama ulivyosema, ukimaliza kula bills zinapita ulipia. Hiyo yote ni kutokana na culture zetu, maana wenzetu wakenya kumkalimu mgeni hata hapo nchini kwao tu ni issue.

Maswala ya mwanaume kumpiga mke sizani kama ni tabia njema, japo tunasikia kwa baadhi ya makabila ya huko kasikazini mashariki mwa Tz ni jambo la kawaida. Lakani nadhani nako kumepunguwa baada ya watu kuelimishwa.

Tatizo dada zetu wanataka kuiga kila kitu cha wazungu na kujisahau kuwa bado ni watanzania tu hata kama wapo Uraya au Marekani. Kazi kwelikweli nakwambia.

Hili ni moja kati ya tofauti zetu na wadhungu. Kwa hiyo si sawa kujilinganisha na westerners hata sisi kuna mambo wanafanya ni ya hajabu kwetu. Tuwe proud of our culture si kila cha mdhungu kizuri.

Kwa kifupi kuna mambo ni kweli na mimi nakubali ni mabaya na nitapinga mfumo dume kwa hayo mambo kama kumpiga mwanamke. Ila si support mashindano kati ya mke na mume; boyfriend/girlfriend in the name of mfumo dume.[/QUOTE]

Mawazo mgando ni utumwa mbaya sana!Ndoa ni nini?Ni utayari wa moyoni au ni vyeti?Au ni mahari?

wanawake tusikubali na hii mifumo dume mpaka kny relationship.......

nguo zake afue mwenyewe,kupika tutapika wote alternative days........kuweni real jamani mapenzi gani hayo yanayomfanya mwanamke awe mtumwa wa kumpikia na kumfulia mwanaume under wajibu disguise........???eti utasikia mapenzi mapenzi gani hayo ya upande mmoja??kwa nini isiwe kufuliana..kupikiana bali iwe kumpikia mume,kumfulia mume etc?

Vijana kazi tunayo kama mabint ndo hawa!!

habari zenu. Nimekumbwa na utata juu ya suala hili, siku hizi wakaka wengi kabla ya ndoa wanataka wahudumiwe kama kwamba tayari wameoa. Tendo la ndoa, kufua, kupika, usafi wiki end na hata katikati ya wiki na mambo mengine kama hayo. Je hiyo ni sawa kwa mila na desturi zetu?
Wengine wanafika mbali zaidi wanataka mtoto kwanza ndipo ndoa ije.
Sasa kweli huo ndio upendo? Naomba mnieleweshe labda mie wa kizamani mno.

ndugu ukisoma wakorintho wazinzi walevi wafiraji awataurithi ufalme wa mbinguni sasa kuna falme ya shetan na ya mungu ilio juumbinguni wategemea umejiandaa kuelekea wapi..sipendi nikujibu huku umeelekeza falme za shetan na kuacha kustarehee..ila kama mkritsto usikubali uzinzi hata kidogo na kwa mpango wa kuzaana alafu uolewe kaulize makanisa yote ninayojua na ya kimila akuna ndoa bada ya kuzalishana unakuwa unabariki ndoa na kuvaa shella ile ni kusisitiza ulitamani kuwa kwenye ndoa lakini ikakushinda ukazini ...acha kama mungu kakuandikia mumeo ama mkeo utampata aijalishi miaka mingapi..
Gday sijui nyt

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom