kuna kitu mnatoa hata?unakuta mdada ana kazi yake ila anaishi tu na mwanaume bila ndoa matumizi anaafford naona ni maadili tu kushnei
Sasa hapa tatizo ni la mwanamke au mwanaume? Kama una kazi na matumizi una afford nini kinakuhamisha kwako kwenda kwa mwanaume ambaye haujafunga naye ndoa? Sasa kama mtu anaweza kununua maziwa na nyama ya ngombe kwa wakati anaotaka yeye kwa nini aingilie kazi za wamasai za ufugaji?