Hivi kuna haja ya kulipatia heshima tendo la ndoa baada ya kuoana?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Hivi kuna haja ya kulipatia heshima tendo la ndoa baada ya kuoana? Mlio tayari kwenye ndoa tujuzeni japo kwa ufupi kuhusiana na uhai wa tendo kabla na baada ya ndoa. Ile mikunjano, mibebano na mitupano ya hapa na pale, mizagamuano chini ya sakafu, juu ya chaga, juu ya kabati la nguo, ndani ya diaba la maji!

Hivi bado inaendelea kuwepo baada ya ndoa? Ama baada ya ndoa tendo hufanyika kwa namna ambavyo limeandikwa katika vitabu vitakatifu? Kwamba Style ni mbili tu (a) Kifo cha mende (b) Ubavu ubavu kama minyoo inayosubiri matapishi.

Nimejaribu kuimagine tu. Niko kwenye mahusiano na Aisha Mapepe. Ufundi anaonimwagia ni zaidi ya VETA. Anayapukutisha mauno peresu peresu na manjonjo kibao. Leo hii let say nimemuoa, haya yote kuna uwezekano wa kuyapoteza? Na kwa nini?

Nyongeza: Mizagamuano ya wachunga kondoo, hivi hayanaga manjonjo? Vipi ufundi? Au ndiyo ile ya "Mama Robi, Rara tukamirishe maandiko" .

Eti mlio kwenye ndoa, mambo ni hali gani uko? Tusije kujichanganyana tukakuta uhai wa tendo ndoani hakuna. Tukaishia kujuta kuoa kama mwenzetu Stamina.
 
Mkuu, Wachunga kondoo wanatumia staili hizi hizi zetu isipokua wao wana majina yao yanayo-relate na maandiko, mfano, "Kifo cha mende" wao huita "kifo cha Goliath", "Mbuzi Kagoma" wao huita "kondoo kagoma kuingia kwenye safina" n.k...
 
Mkuu, Wachunga kondoo wanatumia staili hizi hizi zetu isipokua wao wana majina yao yanayo-relate na maandiko, mfano, "Kifo cha mende" wao huita "kifo cha Goliath", "Mbuzi Kagoma" wao huita "kondoo kagoma kuingia kwenye safina" n.k...
Duh! Sidhani kama wanafahamu baadhi ya systems za tendo kama hardcore ama kuzama chumvini

Huenda wanaribariki tendo kabla ya kuzagamuana. Nimefikiria hivyo tu
 
Kuna tofauti,
1. Wengine wanasali kabia au baada
2. Wengi styles zao ni za kiheshima zaidi. No hardcore, slapping, uvinza etc ni mwendo wa kanisani tu.
3. Wakimalizana kuna kushukuru (asante mke/mume)
4. Ngumu kuwa na wanandoa wakageuza samaki...I believe so!

So yeah, tofauti ipo.
 
Kwani haiwezekani kwa wachumba ambao wamewahi kusasambua tigo kuoana?
4. Ngumu kuwa na wanandoa wakageuza samaki...I believe so!.
Vipi katika muendelezo wa maisha yao ya ndoa, wataashum kuwa hawajawahi kujihusisha na pande hizo?
 
Back
Top Bottom