Kufanya kazi ya Ualimu ni hatari sana kwa maisha yako

Kiboko ya walimu na wakufunzi ni huyu bwana mpwayungu village jamaa huyu ndiomaana hawapendi walimu na ualimu sabab kama hizo yaan.

Ualimu ni mzigo, unapambana na vichwa zaidi ya 100 kuvielewesha mpka vinaelewa lkn malipo ni Upuuzi tu.....

Walimu, madactari, wanajeshi&walinzi, hawa wawekwe kama Vitengo maalumu ktk serikali maana hawa ndio msingi wa Taifa
 
Kila sku mpwayungu village anaipambania hii Kada Ila watu wanamdisi , kiukweli ualimu mi kujitakia umaskini wa kutupwa , wachache Sana wanaomake , labda upangiwe mjini na kichwa kiwe kinazunguka hasa , vinginevyo ni kusubiri tuu pension katika umri wa kufunga mahesabu
Hayo maneno tu
 
Hivi kwanini walimu walio wengi maisha yetu hayatofautiani sana?
Ukweli mtoa mada kapiga mlemle!
 
Wanaosimamia maisha ya watu wameidharau Sana.

Wanatarajia watoto watendewe nini Kwa kutekeleza watendaji wake, hasa walimu. Fikiria Walimu Wakuu wanapata posho kwa kazi anazozifanya mwalimu wa kawaida. Ni kama utumwa.

Mratibu Elimu kata anapata posho ya kazi ipi wkat anayeteseka na Kaz ni mwalimu wa kawaida. Kuna watu huwaambiii kitu Ili waendelee kula.

Nimuombe Rais Mh Mama ufanye kitu
Acha unaa basi!
 
Hivi ualimu nao ni kazi?ninavyojua mimi ni huduma tu, na ndiyo maana.wahudumu ni wengi sawa na wahudumiwao
 
Wanaosimamia maisha ya watu wameidharau Sana.

Wanatarajia watoto watendewe nini Kwa kutekeleza watendaji wake, hasa walimu. Fikiria Walimu Wakuu wanapata posho kwa kazi anazozifanya mwalimu wa kawaida. Ni kama utumwa.

Mratibu Elimu kata anapata posho ya kazi ipi wkat anayeteseka na Kaz ni mwalimu wa kawaida. Kuna watu huwaambiii kitu Ili waendelee kula.

Nimuombe Rais Mh Mama ufanye kitu
Piga kazi acha Longo longo😁
 
Back
Top Bottom