Kufanya kazi ya Ualimu ni hatari sana kwa maisha yako

Ukuu wa shule ni stress asimwambie mtu, Kuna wakati inakulazimu uweke pesa zako Kisha uendelee kuidai serikali vinginevyo mambo hayaendi.

Mkuu wa shule anastahili posho sio Kwa kimavi kile.
Pesa yake yeye anaitoa wapi wakati mishahara yao tunajua haifiki mwisho wa mwezi?
 
Duh kweli hunitaki wala hutanii,ngoja nitafute karatasi na kalamu hapa Kwa mangi niandike bonge la barua kuwa ndio sababu ya kurest in peace
Noo babe! Em kaa hapohapo nakuja...umesema unataka kula chakula na mpikaji??? Eti?
 
Pesa yake yeye anaitoa wapi wakati mishahara yao tunajua haifiki mwisho wa mwezi?
Hakuna kazi ya kijinga km ualimu mkuu.mimi mwenza wangu alikuwa Mwlm mkuu nlipambana aachane nao maana Hadi mshahara wake ufanye majukumu ya shule kisa posho ya laki mbili.kwanza labda Kwa wamjini ila vijijini ni utumwa mwl mkuu anatukanwa na mratibu anatukanwa na wazazi anatukanwa na afisa elimu Bado walimu wenzako hawajaionea donge hyo laki mbili wakuachie kazi zote kisa unaposho yaan ualimu mkuu looh sio kazi nashangaa anapewa lak mbili mratibu laki mbili unusu si sawa kabisa
 
Sawa,mi nalala
Usiku mwema..Ila kwakuwa now umeniacha,ntaanza kukuita brown sugar rasmi,ni Jina la picha moja ya love story nzur Sana, jamaa walikuwa wanapendana ikatokea rabsha za hapa na pale lkn mwisho wa siku wakaja kuweka hisia zao hadharani na kuonyeshana wanapendana,it's a nice movie yaan,ntakuita hivyo hope one day u will love me again, gud night!
 
Bye
 
Back
Top Bottom