Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,611
uje na pesticide kabisaYou must be a pest then...
uje na pesticide kabisaYou must be a pest then...
mtaani nipo juu mbona?yule mtu ulimuona?Unapanda daraja kitaani....huko JF haihusiki.
Kwani we hujui kama kumjua Lizzy wa JF ni ujiko?
Lizzy yule...mi namjua yule. Namjua tokea praimare. Kuna mjomba'angu alikuwa anaishi karibu na nyumbani kwao pale karibu na kwa Mromboo. Yule Lizzy hawezi kunambia kitu mimi yule.
Shika adabu yako. Mimi ndo Raisi wa Wabeba Maboksi. Wewe ndo unatakiwa kutaka kukutana na mimi na si kinyume chake. Kukutana na mimi ni bonge la ujiko. Mara tu ukutanapo na mimi moja kwa moja unapanda daraja.
Kwa mtizamo wangu sijui mods wataingilia vipi hili
Labda kwa kuchuja post kitu ambacho wanakifanya
Na hawezi kujua wakati mtu karusha dongo la ukweli au ni watu wanaotaniana sababu wanaelewana
Je waanza kuchunguza PM? ili watu wakigombana kwenye PM wawe wanachunguza wanavyojibizana kwenye sredi?
Mi nadhani unapopanga kukutana na mtu
Lazima ujue unajiingiza kwenye nini
Kama huna uhakika na unachofanya
Bora kuacha kabisa
uje na pesticide kabisa
Hunijui Sikujui Achana na Mimi....lol
mtaani nipo juu mbona?yule mtu ulimuona?
madongo gani tena mkuu?kwani una sura kama umelipuliwa na mabomu benghazi?
well said kamanda
...nani asiyemjua mbu nje ya jf? kutofautiana hoja au hata kugombana ni sehemu ya maisha, ila nakuunga mkono
wanaokuja na id nyingine kuanzisha timbwili na mtu anayefahamiana naye nje ya jf kufikia hata kumtaja au kubainisha udhaifu au wasifu wake, he/she needs to grow up!
Hahahahaha
Nyani Ngabu yule, muone tu hapa JF. Hana lolote nje ya hapa, Dar yenyewe kahamia mvi zishaota. Sasa hivi anabeba mabox na uzee wote wakati wenzake tunafurahia matunda ya ujanani. Mshkaji bure kabisa.
mnajuana bwana na yeye ni mbeba box hukoKusema kweli yule mtu hata simjui. We mwulize tu hata mwenyewe naye atakwambia hanijui.
mi mbaya lakini ivoivo maisha yanasongaMimi mwanaume bana sura ya nini aise
Hata ikiwa mbaya nikienda pale photo point wanaitengeneza tuu na itafaa kuweka kwenye uso kitabu wako huo
mnajuana bwana na yeye ni mbeba box huko
Jamaa noma kweli. Yaani wananipakazia mi kibabu. Walaaniwe.
sasa alikutoa wapi sio huyo tu yule mwingine nilimuuliza akasema wewe shem wake nae kaolewa na mbeba box yupo hukoHmmm....sidhani aisee. Kwani yeye kwakwambia tunajuana?
JF ni ya members wote ... UGC : User Generated Content ... Neno "content" lazima liwe lina maana nzima - yaani ["satified with what one has" & "what is contained in something"] ...
Kuacha kabisa ni ku-accept defeat!
Labda nirudie kuweka ili jambo kwenye "perspective":
Hapa naongelea "member X" na "member Y":
- wamechat,
- wamepeana "contacts"
- wamekutana for a beer,
- wamepelekani majumbani kwao,
- wamepelekani makazini kwao,
- wamepelekana kwenye miradi yao,
- e.t.c
And on top of that - "member X" anafahamiana na "member A", "member B", "member C" ... e.t.c na kwa sheria za hesabu "member Y" atafahamishwa na "member X" kuhusu A, B, and C ... So a complete network of some kind - right?
What happens when "X" and "Y" wanapoingia kwenye "bad terms"?
Do you think "MICHANGO" yao hapa jukwaani itakuwa na "TIJA" au watabakia "KUIMBA TAARAB"? And you should note that there A, B, and C connected to them in some ways....
sasa alikutoa wapi sio huyo tu yule mwingine nilimuuliza akasema wewe shem wake nae kaolewa na mbeba box yupo huko
mwanamke reception ,mwanamke shep,mwanamke jiko na choo na vyombo mama sijui ni mama weye? husomeki