Kufahamiana [JF Identities] - Faida na Hasara [?]

Ukishahusisha sura yako, jina lako halisi na identinty
Mpaka ulobaki ni mdogo sana
Kama ni mtu smart
Anakupata kirahisi sana

Hata hivyo kudhuriwa nako kunategemea wewe ni nani
Sidhani kama mtu ana-interest ya kudhuru kapuku
For what?
kufahamiana hakuna tatizo ila lazima kuwe na mipaka.........
 
​kwakweli me ninaofahamiana nao bado ka kaleta hoja ya kipuuzi huwa nampa kubwa vilevile
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Utamwamini vipi? Kwa PM zake? Au Post zake?
Kuamini au kutokumuamini mtu it depends na wewe mwenyewe maana unaweza ukawa unafahamiana na mtu miaka 10 iliyopita lakini ukawa haumuamini....so kwa hapa JF it's the matter of how you interact with people in here especially kwenye kuchambua mada mbalimbali automatically mnanjikutaka you begin to be friends..
 
Somehow kunakuwa na vitu common kati yenu

Kuamini au kutokumuamini mtu it depends na wewe mwenyewe maana unaweza ukawa unafahamiana na mtu miaka 10 iliyopita lakini ukawa haumuamini....so kwa hapa JF it's the matter of how you interact with people in here especially kwenye kuchambua mada mbalimbali automatically mnanjikutaka you begin to be friends..
 
tatizo la watu wehu sio tu kukutana nao na kufahamiana nao

humu kuna watu wameshaanzisha thread juu ya mtu ambae hawajawahi kukutana nae
na hawamjui.....

wengine obssession zao kwa mtu zinawatuma tu kuandika chochote wanachokihisi....

Hao wanahitaji msaada!!
 
Haijalishi njia zipi
Hivi tukipanga kukutana labda Move n Pick mimi na wewe
Tunapanga kwenye sredi?

Sababu hatufahamiani, utani-identify vipi?
Lazima kunakuwa na extra communication apart fron sredi
Hizo extra communication ndio zipi?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kwa wale ambao mmefahamiana na mkaendelea kudumisha urafiki - that is well and good ....

Tatizo ninaloliona hapa ni wale ambao wamekuwa na urafiki but all of sudden kukatokea mtafaruku, kuna nafasi kubwa ya vendetta!

Nikisoma baadhi ya "posts" za "new members" - ambao wanaongezeka exponentially [of which is good?] naona kama there is a growing tension of misunderstanding between some members and this is "killing the spirit of JF"!

Possibly it is a high time MODS waka-move in ku-clear the sky!
 
And by the way kwa nini ugomvi wa huko nje huko unauleta humu ndani
Mpaka na wasio husika wanajua kuwa mmegombana
Na at the end mtajikuta mnaongea na mambo ambayo hamkupaswa kuyaongea na yale ya PM yanaletwa hadharani sasa mnamfaidisha nani
Kwa nini watu wanashindwa kuvumiliana na kama ni kugombana wanakuwa mbali for good
na kama mtu mmegombana nae potezea post au thread zake may be kama huyo mtu atakuwa na moyo wa kuendelea kukujibu au kupost issue zinazokuhusu
 
kuna point hapa....
 
Huko ni kujidharaulisha maana unaishia kuwapa watu faida ya kujua usivyo na uwezo wa kuhandle mambo binafsi.

Alafu kama alivyosema Boss wengine hata hawahitaji ujuane nao, binafsi kuna mtu alishanishangaza sana humu. Wengine wanakua na wivu sio wivu, chuki sio chuki yani wanateswa hata na avatar. Hawa ukijuana nao ndio imekula kwako, maana siku mkitofautiana tu anaweza akaeleza hata sufuria yako ilivyo na masinzi. Muhimu ni kuchagua kwa uangalifu.
 
tatizo la watu wehu sio tu kukutana nao na kufahamiana nao

humu kuna watu wameshaanzisha thread juu ya mtu ambae hawajawahi kukutana nae
na hawamjui.....

wengine obssession zao kwa mtu zinawatuma tu kuandika chochote wanachokihisi....

Hahahaaa tell me about it!

Mtu humjui lakini unajifanya unamjua. Oh sijui Boss mjanja mtandaoni tu lakini ni mtoto wa mama nyumbani anadeka sana....aah yule Boss yule mi namjua yule...ujanja kaujulia ukubwani tu yule....Boss hana lolote yule....na kadhalika na kadhalika.

I hate people like that and I hate them with a passion. If I could rip them to shreds I'd do it in a heartbeat. Stupid bastards.
 
Haijalishi njia zipi
Hivi tukipanga kukutana labda Move n Pick mimi na wewe
Tunapanga kwenye sredi?

Sababu hatufahamiani, utani-identify vipi?
Lazima kunakuwa na extra communication apart fron sredi

Pamoja na kuwepo kwa hizo extra communication, which of course is great, nadhani bado ni vizuri hasa kwa hawa vijana wa kizazi kipya wanaojiunga na JF kujua kuwa however well you feel that you know internet friends, anyone who you've met online is essentially still a stranger. Sidhani kama extra-communication zinazofanywa kabla ya kukutana in 3D kutawafanya msiwe strangers.

Kama watu wanavyoingizwa mjini in real life, wapo ambao wako tayari kudanganya online. And my special advise for any female members, don't ever let yourself feel pressured into making online friendships. If something feels wrong, don't get drawn in. Otherwise, yatakuwa kama yale ya Mpoleee. LOL.
 
Ni kweli, mnagombana PM au mtaani
mnaleta kwenye sredi
mwishowe ni kuanza blackmailing

Kushindwa kuhimili tofauti za watu katika jami ni kukosa ukomavu wa kiutu uzima.
Kutofautiana mitazamo sidhani kama ni uadui.

And by the way kwa nini ugomvi wa huko nje huko unauleta humu ndani
Mpaka na wasio husika wanajua kuwa mmegombana
Na at the end mtajikuta mnaongea na mambo ambayo hamkupaswa kuyaongea na yale ya PM yanaletwa hadharani sasa mnamfaidisha nani
Kwa nini watu wanashindwa kuvumiliana na kama ni kugombana wanakuwa mbali for good
na kama mtu mmegombana nae potezea post au thread zake may be kama huyo mtu atakuwa na moyo wa kuendelea kukujibu au kupost issue zinazokuhusu
 
mimi kiukweli sina mpango wa kukutana na yeyote humu
ila sioni kama ni shida watu kukutana
ni mtizamo wangu tu
sipendi kumdanganya mtu
 
Back
Top Bottom