Kufahamiana [JF Identities] - Faida na Hasara [?]

...nani asiyemjua mbu nje ya jf? kutofautiana hoja au hata kugombana ni sehemu ya maisha, ila nakuunga mkono
wanaokuja na id nyingine kuanzisha timbwili na mtu anayefahamiana naye nje ya jf kufikia hata kumtaja au kubainisha udhaifu au wasifu wake, he/she needs to grow up!
 
Kwani we hujui kama kumjua Lizzy wa JF ni ujiko?

Lizzy yule...mi namjua yule. Namjua tokea praimare. Kuna mjomba'angu alikuwa anaishi karibu na nyumbani kwao pale karibu na kwa Mromboo. Yule Lizzy hawezi kunambia kitu mimi yule.

Hahahahaha

Nyani Ngabu yule, muone tu hapa JF. Hana lolote nje ya hapa, Dar yenyewe kahamia mvi zishaota. Sasa hivi anabeba mabox na uzee wote wakati wenzake tunafurahia matunda ya ujanani. Mshkaji bure kabisa.
 
Shika adabu yako. Mimi ndo Raisi wa Wabeba Maboksi. Wewe ndo unatakiwa kutaka kukutana na mimi na si kinyume chake. Kukutana na mimi ni bonge la ujiko. Mara tu ukutanapo na mimi moja kwa moja unapanda daraja.

Miafrika ndivyo tulivyo
 
Kwa mtizamo wangu sijui mods wataingilia vipi hili
Labda kwa kuchuja post kitu ambacho wanakifanya
Na hawezi kujua wakati mtu karusha dongo la ukweli au ni watu wanaotaniana sababu wanaelewana

Je waanza kuchunguza PM? ili watu wakigombana kwenye PM wawe wanachunguza wanavyojibizana kwenye sredi?

Mi nadhani unapopanga kukutana na mtu
Lazima ujue unajiingiza kwenye nini
Kama huna uhakika na unachofanya
Bora kuacha kabisa

JF ni ya members wote ... UGC : User Generated Content ... Neno "content" lazima liwe lina maana nzima - yaani ["satified with what one has" & "what is contained in something"] ...

Kuacha kabisa ni ku-accept defeat!

Labda nirudie kuweka ili jambo kwenye "perspective":

Hapa naongelea "member X" na "member Y":
- wamechat,
- wamepeana "contacts"
- wamekutana for a beer,
- wamepelekani majumbani kwao,
- wamepelekani makazini kwao,
- wamepelekana kwenye miradi yao,
- e.t.c

And on top of that - "member X" anafahamiana na "member A", "member B", "member C" ... e.t.c na kwa sheria za hesabu "member Y" atafahamishwa na "member X" kuhusu A, B, and C ... So a complete network of some kind - right?

What happens when "X" and "Y" wanapoingia kwenye "bad terms"?

Do you think "MICHANGO" yao hapa jukwaani itakuwa na "TIJA" au watabakia "KUIMBA TAARAB"? And you should note that there A, B, and C connected to them in some ways....
 
madongo gani tena mkuu?kwani una sura kama umelipuliwa na mabomu benghazi?

Mimi mwanaume bana sura ya nini aise
Hata ikiwa mbaya nikienda pale photo point wanaitengeneza tuu na itafaa kuweka kwenye uso kitabu wako huo
 
...nani asiyemjua mbu nje ya jf? kutofautiana hoja au hata kugombana ni sehemu ya maisha, ila nakuunga mkono
wanaokuja na id nyingine kuanzisha timbwili na mtu anayefahamiana naye nje ya jf kufikia hata kumtaja au kubainisha udhaifu au wasifu wake, he/she needs to grow up!
well said kamanda

sometimes unashindwa hata kujua useme nini!!
 
Hahahahaha

Nyani Ngabu yule, muone tu hapa JF. Hana lolote nje ya hapa, Dar yenyewe kahamia mvi zishaota. Sasa hivi anabeba mabox na uzee wote wakati wenzake tunafurahia matunda ya ujanani. Mshkaji bure kabisa.

Jamaa noma kweli. Yaani wananipakazia mi kibabu. Walaaniwe.
 
Mimi mwanaume bana sura ya nini aise
Hata ikiwa mbaya nikienda pale photo point wanaitengeneza tuu na itafaa kuweka kwenye uso kitabu wako huo
mi mbaya lakini ivoivo maisha yanasonga
 
mnajuana bwana na yeye ni mbeba box huko

Hmmm....sidhani aisee. Kwani yeye kwakwambia tunajuana?

Na haiwezekani yeye awe mbeba maboksi. Wabeba maboksi wote wanaripoti kwangu. Huyo atakuwa mtawaza vizee.
 
JF ni ya members wote ... UGC : User Generated Content ... Neno "content" lazima liwe lina maana nzima - yaani ["satified with what one has" & "what is contained in something"] ...

Kuacha kabisa ni ku-accept defeat!

Labda nirudie kuweka ili jambo kwenye "perspective":

Hapa naongelea "member X" na "member Y":
- wamechat,
- wamepeana "contacts"
- wamekutana for a beer,
- wamepelekani majumbani kwao,
- wamepelekani makazini kwao,
- wamepelekana kwenye miradi yao,
- e.t.c

And on top of that - "member X" anafahamiana na "member A", "member B", "member C" ... e.t.c na kwa sheria za hesabu "member Y" atafahamishwa na "member X" kuhusu A, B, and C ... So a complete network of some kind - right?

What happens when "X" and "Y" wanapoingia kwenye "bad terms"?

Do you think "MICHANGO" yao hapa jukwaani itakuwa na "TIJA" au watabakia "KUIMBA TAARAB"? And you should note that there A, B, and C connected to them in some ways....

Ndo maana msisitizo hapa ni kuwa mambo yaliyoongelewa au kujadiliwa baina ya wahusika yabakie huko huko
Na kama mtu au watu wamekutana na kubadilishana namba za simu au kufahamiana kwa njia yoyote na then wakahitilafiana yaliongelewa katika hivyo vikao vyao hatutaki kuyasikia
Yanatakiwa yabakie ni yao na nje ya JF
Kuleta ugomvi wa PM au wa watu waliokutana na kuuweka humu au kuuweka kweney thread au kumuanzishia thread mtu ambaye mmekosana huko nje ni jambo la ajabu sana
Kuwa tuu mstaarabu na kama una lolote la ziada na mhusika mwambie kwa njia nyingine na skio kuwafaidisha watu ambao hawahusiki hapa
 
sasa alikutoa wapi sio huyo tu yule mwingine nilimuuliza akasema wewe shem wake nae kaolewa na mbeba box yupo huko

Mbona mi sina shem....

Rudi udadisi tena. Asilimia 110 mimi hao siwajui and you can take that to bank and cash it.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom