Nauliza Ku PM ndio kufanyaje plz.
PM= P>>>>Private na M>>>Message
PM = Private (binafsi) na Message (ujumbe)
Ku-PM = kutuma ujumbe binafsi kwa mtu. Ujumbe huo hautaonekena na member wengine wa jf isipokuwa huyo ulomtumia.
Nakutumia ujumbe kwa PM sasa hivi, kuna kitu nakuuliza.
Ili uweze kuusoma, hapo juu karibu na logout utaona pameandikwa notifications, bofya, kisha bofya new message ili usome ujumbe ntakaokutumia.
Nauliza Ku PM ndio kufanyaje plz.