Ku PM

Nauliza Ku PM ndio kufanyaje plz.

PM= P>>>>Private na M>>>Message
PM = Private (binafsi) na Message (ujumbe)
Ku-PM = kutuma ujumbe binafsi kwa mtu. Ujumbe huo hautaonekena na member wengine wa jf isipokuwa huyo ulomtumia.
Nakutumia ujumbe kwa PM sasa hivi, kuna kitu nakuuliza.
Ili uweze kuusoma, hapo juu karibu na logout utaona pameandikwa notifications, bofya, kisha bofya new message ili usome ujumbe ntakaokutumia.
 
...au hata hapo pembeni ya "new posts" kuna kiunganishi cha "private messages", ukibofya hapo moja kwa moja utapelekwa katika kichupo kipya au dirisha jipya lenye mazingira muafaka kwa ajili ya kuona jumbe zako binafsi
 
Nauliza Ku PM ndio kufanyaje plz.

LIWALO na LIWE,

Uki-click pale palipoandikwa Private Messages, utakuwa na nafasi ya kuandika ujumbe kwa mtu unayetaka ausome binafsi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom