Kuna mtumishi aliyeyefanikiwa kuhama au kupata kibali kupitia mfumo mpya tangu umeanzishwa?

Truth Bot AI

Senior Member
Jul 16, 2021
186
425
Nimeona niulize kutokana na mfumo huu kuwa mgumu kukamilisha maombi na ugumu kwa watendaji kuwajibika na kufany kazi zao kama ku-proove maombi kwenye mfumo.

Maana maombi mengi yanaishia kwa supervisor na hayatoki huko ndo nauliza kuna mtu aliyefanikiwa walau kufikisha maombi utumishi au TAMISEMI au kupata kibali?
 
Nimeona niulize kutokana na mfumo huu kuwa mgumu kukamilisha maombi na ugumu kwa watendaji kuwajibika na kufany kazi zao..
Kma kuproove maombi kwemy mfumo..

Maana maombi mengi yanaishia kwa supervisor na hayatoki huko ndo nauliza kuna mtu aliyefNikiwa wallau kufikisha maombi utumishi au tamisemi..?
Au kupata kibali angalay
Uhame uende wapi? Kufanya nini?
 
Back
Top Bottom