Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 6,975
- 12,438
- Thread starter
- #81
Mkuu huyu sio kenge na wala hajawahi kuwa kenge. Ni mnyama tu jamii ya mijusi. Kama unavyoona kuna Tiger, Leopard, Cheetah (chui) ambao ni jamii ya paka, lakini haimaanishi kuwa wanyama hao wakubwa nao ni paka.Jama nshaangslia huyo mnyama kwenye national geographic. Kwa kifupi ni kenge. Ukubwa ni kutokan na maeneo