mka
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 318
- 81
Mbona Bob Marley keshatunga nyimbo za kumuombolezea Mandela? Acheni umbeya wenu nyie.....
Bob Marley alitunga huo wimbo wakati Mandela yupo jela au? Maana Bob kafariki kipindi Mandela yupo jela.
Mbona Bob Marley keshatunga nyimbo za kumuombolezea Mandela? Acheni umbeya wenu nyie.....
Hivi wewe hufi?
wimbo gani alitunga nusu saa? Kuingiza vocal ilichukua dakika ngapi? Hahahaaaa...mkuu wewe ni noma.
he is in vegetative state. ni kama amekufa
huo ubaya wa hali ya baba wa taifa waliosema madaktari ndio tunaoushangaa!!!
Yeye alitoka hapa mzima kabisa, nini kilikuja kumpata tena??
aaargh! Kwendeni huko! Mbona dr. Remmy alikuwa akitunga na kuimba yuko jukwaani kabisa! Mnataka kutuaminisha vitu gani sasa?
Mimi binafsi kama napewa beat sasa hivi!natoa kibao kuhusu mod kufuta thread baada ya slaa na demu kuzidiwa jana!!!nipeni beat muone halafu niwasikie kama mtajiuliza nilijuaje kama silaa jana angechemka!!!!
hilo siyo tatizo. je atatoa album kwa siku ngapi na kufyatua copy? kumbuka baada ya Baba makongoro kufa mabox na mabox yenye nyimbo za maombolezo zilianza kusambazwa tanzania nzima. tulikua tunaangalia siku hiyo hiyo itv historia yake huku wakichombeza na nyimbo za video za komba. Munieleweshe sio kunikalipia. Musiingize mambo ya freestyle.
Hakuna cha kuuliwa baba yenu wala nini na muwache uzushi jamani eeeeeeeeeh. Nyerere alishakufa at least siku tano kabla, alikuwa kwenye life supporting machine wakisubiri ruhusa kutoka kwa familia ili iwe switched off. Scenario zote hizo zilikuwa zinaripotiwa kwenye website ya BBC lakini kwa sababu ya ushamba wetu wa internet mwaka 1999 watz walikuwa wanasubiri ripoti kutoka radio na television.
Katika kipindi hicho nilikuwa UK nikipiga kitabu na wa afrika ya mashariki tulikuwa tunafuatilia kwa makini kwenye mtandao. Walipozima lile limashine tu akawa declared dead.
Sasa hapo kwa nini Komba asipate nafasi ya kutunga nyimbo zile za msiba wakati walishajua kwamba uwezekano wa kurudisha uhai haukuwepo?
Nitawasaidia kitu kimoja hapa. Najua watu wengi hawajui kuwa nyimbo nyingi za Komba zinatokana na "folk songs" za Wangoni. Wangoni wanazo nyimbo nyingi sana kwa wakati mbalimbali kama ilivyo kwa makabila mengi. Kuna nyimbo za wakati wa mavuno, nyimbo za burudani (harusi n.k) na nyimbo za misiba. Komba kwa kiwango kikubwa sana amechota kwenye nyimbo hizi nyingi na kuzibadilisha maneno kwa Kiswahili.
Nyimbo zake kama "Acha Turinge", " (Watanzania hao) nambari wani" melody zake inatokana na nyimbo za kingoni alichofanya yeye ni kubadilisha maneno. Kwa wanaokumbuka hii ilikuwaw kweli wakati wa Msiba wa Sokoine vile vile. Hivyo, hata leo likitokea tukio kubwa haitaji kutengeneza melody anahitaji kubadilisha maneno tu. Bahati mbaya sana melody ya nyimbo hizi za kingoni watunzi wake hawajulikani kwa sababu nyingi zimeimbwa vijijini na zimepitishwa kutoka kizazi na kizazi hivyo inakuwa hata vigumu kumcredit mtunzi hasa.
Binafsi sijajua hasa ni nyimbo gani hasa ambazo Komba katunga melody yake bila kuchota kwenye nyimbo za kingoni.

Komba ni msanii na ukiwa msanii unatakiwa kuwa mbunifu, mbona inasemekana keshatunga nyimbo za waheshimiwa wote wanaougua bado uzinduzi tu!
Mkuu mdhima wewe?Umenena vyema mzee, licha ya maelezo yako mazuli bado hayawez kujib swali hilo hapo juu, ok Komba kabadilisha maneno wimbo keshaushika ndan ya masaa kadhaa, vipi kuhusu kuwashikisha mavocalists wengine? Vipi .kuhusu kukompoz mziki? Vipi kuhusu kuingiza voko studio? Vipi kuhusu kufanya mixing? Vipi kuhusu kuplodyuzi na kupeleka .kituoni? Haya yote ni dhahili yanahitaji muda wa kutosha hasa ukizingatia na uzito wa tukio lenyewe.
Komba ni msanii na ukiwa msanii unatakiwa kuwa mbunifu, mbona inasemekana keshatunga nyimbo za waheshimiwa wote wanaougua bado uzinduzi tu!