Komba, ulijuaje Nyerere atakufa hadi utunge nyimbo za maombolezo yake??

nakumbuka ilikuwa mida ya saa nne pale shuleni, tulikuwa tunajiandaa kwenda kunywa uji. mara tukatangaziwa baba wa taifa ameaga dunia. Hapo hapo tukaanza kusikia nyimbo za komba. Alikuwa ameshatoa album. je hiyo album aliitunga mda gani na alijuaje atakufa? kama wimbo wa haraka kukamilika unachukua hata wiki tatu je album itachukua mda gani? Naomba Komba unifafanulie. Hasa naomba ule wimbo uliobeba jina la album.(taifa lahuzunika pamoja twasema kwaheli..kwaheri baba..mwalimu nyerere).
kumbe siku hizi watoto wengi jf 99 ulikuwa shuleni unakunywa uji?? I think la tatu au la nne
 
jibu ni easy tu kwamba..alishaambiwa na mkuu wa kaya wa wakat huo ndugu Ben, atunge nyimbo za baba wa taifa wakati Apson Mwang'onda na tiss yake wakikamilisha kifo cha jkn.
Mzee apson hakuumuua jkn kafanye vizuri homework yako
 
Kuna vitu vinafikirisha sana. Ni maswali kama yakipumbavu. Lakini kuna hoja za maana zinaibuka ktk kujibu swali la kipumbavu.

Kijitonyama Luth choir, ule wimbo wao wa Kilio Tanzania ulitoka baada ya siku ngapi toka 14.10.1999? Yaani ule wa,
Kilio mmh x3
Tanzania.
Tunalia Tanzania ...

Na yule msanii wa ushairi wa Tangulia Mwalimu, Nenda Mwalimu alitoa kazi yake siku ngapi toka 14.10.'99?

What was the greatest role of Kigunge N Mwiru when he was in UK?
 
Akitangulia yeye itakuaje!!. Au keshajitungia na za kwake!!!!
 
kwani inachukua muda gani kutunga wimbo? kwa mtunzi wa ukweli masaa 4 yanatosha kabisa mbona kuna wasanii wa ubongo wa fuleva huwa wanatungia nyimbo studio na kurecord siku hiyo hiyo

Mfano??
Hakuna kitu kama hicho wewe, unless unazungumzia free styles ambazo ni tofauti kabisa hapa.
Mkuu nyimbo nzuri kama zile with that melodies, unafanya mchezo nini, let's say kajitahidi sana tena kufanya rehersal na kundi lake for a day, but walianza kuimba mara baada ya kutangaziwa kuwa JKN kafariki..,
 
kufa tutakufa ila ni binadam gani mwenye uwezo wa kutabiri kifo cha mtu na kuanza kumtungia nyimbo?ccm ni watu hatari katika taifa hili mdogo wangu.wametuulia bb yetu wa taifa hawa makila,wametuulia watu wengi sana wazalendo,kama hawa walio vitandani leo kwa kulishwa sumu.

Hakuna cha kuuliwa baba yenu wala nini na muwache uzushi jamani eeeeeeeeeh. Nyerere alishakufa at least siku tano kabla, alikuwa kwenye life supporting machine wakisubiri ruhusa kutoka kwa familia ili iwe switched off. Scenario zote hizo zilikuwa zinaripotiwa kwenye website ya BBC lakini kwa sababu ya ushamba wetu wa internet mwaka 1999 watz walikuwa wanasubiri ripoti kutoka radio na television.

Katika kipindi hicho nilikuwa UK nikipiga kitabu na wa afrika ya mashariki tulikuwa tunafuatilia kwa makini kwenye mtandao. Walipozima lile limashine tu akawa declared dead.

Sasa hapo kwa nini Komba asipate nafasi ya kutunga nyimbo zile za msiba wakati walishajua kwamba uwezekano wa kurudisha uhai haukuwepo?
 
hivi wewe mama kuna muda huwa unavuta bhange?!

aliagizwa na mkuu wake.

Samaki ana mengi ya kusema lakini maji yyanamzuia....vile vile machozi yake huchukuliwa na maji siku zote.

Familia ya baba wa taifa fuatilieni sana hili jambo.wahusika ni n wengi mno .ungekuwa kwenye nafsi za waatu ungeona mambo yalivyofanywa...ndo maana wadanganyika hatupo kabisa kimaendeleo kwa sababu ya dhambi ya uuaji na bado leo ,kesho,kesho kutwa itaendelea kulivamia taifa...ni roho mbaya...
 
nakumbuka ilikuwa mida ya saa nne pale shuleni, tulikuwa tunajiandaa kwenda kunywa uji. mara tukatangaziwa baba wa taifa ameaga dunia. Hapo hapo tukaanza kusikia nyimbo za komba. Alikuwa ameshatoa album. je hiyo album aliitunga mda gani na alijuaje atakufa? kama wimbo wa haraka kukamilika unachukua hata wiki tatu je album itachukua mda gani? Naomba Komba unifafanulie. Hasa naomba ule wimbo uliobeba jina la album.(taifa lahuzunika pamoja twasema kwaheli..kwaheri baba..mwalimu nyerere).

JKN alikua siku 5 before mkapa hajatangaza coz walishaanza kufanya maandalizi ya airport kule musoma na nyumbani kwake ili ugeni mzito utakaokuja kuhani msiba angalau wasishangae sana kwa hali chafu watakayokutananayo,katika kipindi hicho ndipo TOT nao walishaambiwa wakae mkao na nyimbo zao waziandae
 
Ningekuwa mtunzi wa nyimbo nami ningetunga mahsusi kwa kepteni Komba, ile anavuta tu nami narilizi songi langu!
 
nakumbuka ilikuwa mida ya saa nne pale shuleni, tulikuwa tunajiandaa kwenda kunywa uji. mara tukatangaziwa baba wa taifa ameaga dunia. Hapo hapo tukaanza kusikia nyimbo za komba. Alikuwa ameshatoa album. je hiyo album aliitunga mda gani na alijuaje atakufa? kama wimbo wa haraka kukamilika unachukua hata wiki tatu je album itachukua mda gani? Naomba Komba unifafanulie. Hasa naomba ule wimbo uliobeba jina la album.(taifa lahuzunika pamoja twasema kwaheli..kwaheri baba..mwalimu nyerere).

Alidokezwa na Sheikh Yahaya:)
 
Back
Top Bottom