Kwa hiyo solution ni nini? Kwa kuwa wengi wanapendekeza zitumike ofisi za serikali za mitaaTatizo Watanzania tunapenda kufanya vitu dakika za mwisho mwisho.
Awamu ya kwanza foleni ilikuwa kubwa kweli dakika za mwisho lakini baada ya kuongezewa muda mlikimbia wote sasa hivi ten dakika za majeruhi mnarudi tena kwa wingi.
Sio jibu la swali lililopo mezani. Issue ni kuweka kaunta zote hai na kuhakikisha systems zinafanya kazi.Wananchi tujifunze kulipa mapema kuliko kusubiri dakika za mwisho, ni shilingi elfu 10 lakini unaweza kupoteza muda siku 2 kama utani.
Utalipa na faini ambayo ni mara tano ya ulichotakiwa kulipa.Baada ya hiyo terehe hatua gani sitachukuliwa
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Utalipa na faini ambayo ni mara tano ya ulichotakiwa kulipa.
Asante mkuuUtalipa na faini ambayo ni mara tano ya ulichotakiwa kulipa.
EXACTLY.....Baada ya hiyo terehe hatua gani sitachukuliwa
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Watu wanapenda kujaza mahali pamoja...hiyo kodi unaweza lipa tawi lolote TRAKwani TRA hawana account bank? Kwa nini watu wasilipie kwenye bank zao kuliko wanavyofanya sasa. Mambo ya kupanga foleni ni mtindo wa kihovyo sana. Mnakuja na matamko suluhu hamna. Property Tax lilipashwa iwepo kitambooo utaratibu ulipashwa uanzie Ardhi sasa hii kukurukakara inaumiza wengi.
Unazidiwa kumbuka wanatumia mkonga wa Taifa.Sio jibu la swali lililopo mezani. Issue ni kuweka kaunta zote hai na kuhakikisha systems zinafanya kazi.
Iweje mtandao uwe down mara 5 hadi 6 kwa siku?
ExactlyMalipo yote yanafanyika bank kinachofanyika ni mtu kwenda kuchukua bill yake na kwenda bank kulipia. hiyo bill ina contro namba ambayo inatumika kulink kati ya TRA na Commercial bank
Usitoe majibu ya maswali ambayo huna ujuzi nayo. Wakati huu mkongo sijui mkunga wa taifa unasimikwa, tuliambiwa na kuaminishwa kwamba utakuwa ndio muarobaini wa matatizo ya mawasiliano Tanzania. Leo hii, miaka michache tu umezidiwa, ina maana makampuni ya simu yanayotandika miamala ya fedha round the clock country wise yanatumia mfumo gani wa mawasiliano?Unazidiwa kumbuka wanatumia mkonga wa Taifa.