Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,093
- 69,647
Kweli lakini watu wanalalamikia muda mfupi halafu foleni ndefu kila kukichaIshu sio kulipa. Unaenda serikali ya mtaa Unachukua form ya malipo, inaonyesha kiwango cha kulipa unaenda unalipia banks za biashara kama crdb, nmb na nyinginezo za biashara, ukishamaliza kulipa unaenda TRA office na zile forms za malipo kutoka banks pale ndio kuna foleni la kufa mtu.
Wengineo unakuta ana malimbikizo ya kulipa sasa ameenda kwa ajili ya Complain apo ndio kuna upotevu wa muda