Kodi ya majengo bado kizungumkuti

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
742
377
Mwitikio wa watu ni mkubwa. Lakini utaratibu ni wa kukatisha tamaa. Foleni ni ndefu lakini wahudumu wachache mno. Mara utasikia mtandao uko down. Yaani ni vituko.
4324a32230db40413ccbbb6d7fc4557b.jpg
19a93013ad8003f113f82a0d0d6bb345.jpg
0be9955cf8b03977147f50b439d94990.jpg

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Wananchi tujifunze kulipa mapema kuliko kusubiri dakika za mwisho, ni shilingi elfu 10 lakini unaweza kupoteza muda siku 2 kama utani.
 
Tatizo Watanzania tunapenda kufanya vitu dakika za mwisho mwisho.

Awamu ya kwanza foleni ilikuwa kubwa kweli dakika za mwisho lakini baada ya kuongezewa muda mlikimbia wote sasa hivi ten dakika za majeruhi mnarudi tena kwa wingi.
 
Kwa hiyo solution ni nini? Kwa kuwa wengi wanapendekeza zitumike ofisi za serikali za mitaa

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sie Mwanza foleni inasogea sogea angalau japo watu bado ni wengi na mwisho tarehe 15/7/2017
 
Baada ya hiyo terehe hatua gani sitachukuliwa

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kwani TRA hawana account bank? Kwa nini watu wasilipie kwenye bank zao kuliko wanavyofanya sasa. Mambo ya kupanga foleni ni mtindo wa kihovyo sana. Mnakuja na matamko suluhu hamna. Property Tax lilipashwa iwepo kitambooo utaratibu ulipashwa uanzie Ardhi sasa hii kukurukakara inaumiza wengi.
 
Watu wanapenda kujaza mahali pamoja...hiyo kodi unaweza lipa tawi lolote TRA
 
Waongeze tena muda

Ila mbona wangeweza kulipia benki tu???

Nmb

Crdb

Access

Etc

Etc

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unazidiwa kumbuka wanatumia mkonga wa Taifa.
Usitoe majibu ya maswali ambayo huna ujuzi nayo. Wakati huu mkongo sijui mkunga wa taifa unasimikwa, tuliambiwa na kuaminishwa kwamba utakuwa ndio muarobaini wa matatizo ya mawasiliano Tanzania. Leo hii, miaka michache tu umezidiwa, ina maana makampuni ya simu yanayotandika miamala ya fedha round the clock country wise yanatumia mfumo gani wa mawasiliano?
 
Back
Top Bottom