Kulipa bank alafu unaishia hukohuko au??Waongeze tena muda
Ila mbona wangeweza kulipia benki tu???
Nmb
Crdb
Access
Etc
Etc
Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
Kwani TRA hawana account bank? Kwa nini watu wasilipie kwenye bank zao kuliko wanavyofanya sasa. Mambo ya kupanga foleni ni mtindo wa kihovyo sana. Mnakuja na matamko suluhu hamna. Property Tax lilipashwa iwepo kitambooo utaratibu ulipashwa uanzie Ardhi sasa hii kukurukakara inaumiza wengi.
Maamuzi ya mtu mmoja matokeo yake ni haya.Ni wazembe hawa TRA hawakujiandaa kabisa kukabiliana na wingi wa wateja. Na hii shughuli ilikuwa inafanywa na halmashauri za majiji na miji, baada ya malaika kuona Chadema imeshinda katika halmashauri nyingi nchini akaamua kunyang'anya mapato ya halmashauri hizo na kuhamishia Serikali kuu.
nani kasema elfu 10?Wananchi tujifunze kulipa mapema kuliko kusubiri dakika za mwisho, ni shilingi elfu 10 lakini unaweza kupoteza muda siku 2 kama utani.
Wewe wenyewenani kasema elfu 10?
sasa tuliolipia hakuna elfu kumi mie tu nimelipishwa 32360Wewe wenyewe
Mkuu hii sheria inaanza mwaka wa fedha 2017/18sasa tuliolipia hakuna elfu kumi mie tu nimelipishwa 32360
Kuna wale wanaolipia moja kwa moja ktk account ya TRA Bank ambao walikuwa wakilipia kodi za majengo miaka ya nyuma ambao kumbukumbu zao zipo lakini wengi wa wale tunaowaona kwa sasa kwenye foleni ni wale ambao ni walipaji wa mara ya kwanza ambao wanalipia TRA na baada ya hapo kwa vile watakuwa wamekwishaingizwa kwenye system basi kuanzia mwaka wa fedha 2017/18 watakuwa wanalipia moja kwa moja bank maana kumbukumbu zao zitakuwepo TRAKwani TRA hawana account bank? Kwa nini watu wasilipie kwenye bank zao kuliko wanavyofanya sasa. Mambo ya kupanga foleni ni mtindo wa kihovyo sana. Mnakuja na matamko suluhu hamna. Property Tax lilipashwa iwepo kitambooo utaratibu ulipashwa uanzie Ardhi sasa hii kukurukakara inaumiza wengi.
hawa wezi tu miaka ya nyuma nilikuwa nalipa elfu tano,ikaja elfu 10 lakini majuzi mwaka huu nakuta 32360 huu si usanii mkuuMkuu hii sheria inaanza mwaka wa fedha 2017/18
CCM ni kawaida yao mkuu, kuwa mpole mpaka 2020hawa wezi tu miaka ya nyuma nilikuwa nalipa elfu tano,ikaja elfu 10 lakini majuzi mwaka huu nakuta 32360 huu si usanii mkuu
Ukata kaka hakuna anaetaka iwe hivyo ukiona kwako kunaungua kwa mwenzako kunateketea,,Wananchi tujifunze kulipa mapema kuliko kusubiri dakika za mwisho, ni shilingi elfu 10 lakini unaweza kupoteza muda siku 2 kama utani.
Ni kweli dingiUkata kaka hakuna anaetaka iwe hivyo ukiona kwako kunaungua kwa mwenzako kunateketea,,
Sent from my M2 using JamiiForums mobile app
Hakuna Hali ngumu, mlo mmoja Sasa ni shiiidaaaa,Tatizo Watanzania tunapenda kufanya vitu dakika za mwisho mwisho.
Awamu ya kwanza foleni ilikuwa kubwa kweli dakika za mwisho lakini baada ya kuongezewa muda mlikimbia wote sasa hivi ten dakika za majeruhi mnarudi tena kwa wingi.
System lazima itakuwa down. Kumbuka ni nchi nzima. Bandwith imekuwa ndogo. Mzigo ni mkubwa.Sio jibu la swali lililopo mezani. Issue ni kuweka kaunta zote hai na kuhakikisha systems zinafanya kazi.
Iweje mtandao uwe down mara 5 hadi 6 kwa siku?
Mmmh mi nkajua ni hela ndeeefu kumbe buku tenimkuu mimi nashangaa nimeambiwa nilipe elfu 24,000 wakati ni elfu kumi
Asante..yawezekana wanaoshangaa hawana majengo ili walipie kodi!Malipo yote yanafanyika bank kinachofanyika ni mtu kwenda kuchukua bill yake na kwenda bank kulipia. hiyo bill ina contro namba ambayo inatumika kulink kati ya TRA na Commercial bank
Akili zetu zimeganda mkuu, hatupendi ku simplify issues, tumezoea makatarasi na kupenda kukutana uso kwa uso!WAMESHINDWA KUWEKA HATA MFUMO WA ONLINE AU BENKI AU KULIPIA KWA SIMU???Interesting kwa kweli
Probably..Ni wazembe hawa TRA hawakujiandaa kabisa kukabiliana na wingi wa wateja. Na hii shughuli ilikuwa inafanywa na halmashauri za majiji na miji, baada ya malaika kuona Chadema imeshinda katika halmashauri nyingi nchini akaamua kunyang'anya mapato ya halmashauri hizo na kuhamishia Serikali kuu.