Ni nini hatima ya Soko la Majengo Tunduma?

ngetela

Member
Oct 12, 2021
56
32
Soko la majengo Tunduma Songwe ni soko la wakulima na wafanyabiashara wadogo kinamama na wajasiriamali.

Lakini kwa muda mrefu limetamaniwa na watawala kwa kuwambia wafanyabiashara kwamba wanataka kuliboresha.

Mpaka nawasilisha hoja hii limevunjwa kuwahamisha watu wote. Swali langu ni kusudi gani lengwa kwa eneo hili hasa maswali yapo mengi likiwepo kuuzwa Kwa mwekezaji na comesa.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom