Kodi ya majengo bado kizungumkuti

Tatizo Watanzania tunapenda kufanya vitu dakika za mwisho mwisho.

Awamu ya kwanza foleni ilikuwa kubwa kweli dakika za mwisho lakini baada ya kuongezewa muda mlikimbia wote sasa hivi ten dakika za majeruhi mnarudi tena kwa wingi.

Acheni kutetea ujinga. TRA is pathetic! Huwezi kuweka utaratibu wa kulipa kodi kwa foleni. Lazima mfumo wa kodi uwe Rafiki kwa mlipaji. Hivi kweli na technolojia ya leo..MPESA, Tigopesa nk..bado watu wapange foleni? This whole thing shows you lack of creativity on TRA. Kama unaweza tuma pesa kutoka Dar kwenda Nairobi in two seconds..kwanini ishindikane kuituma TRA?

Guess what? Leo JPM akifoka kwamba TRA waweke utaratibu Rafiki wa kulipa hii kodi..They will change!

Again..labda ndo ule msemo punda haendi bila mijeredi!
 
Nime like twice kumbe nina unlike
Creativity Tz ni zero, mpaka aje mkemia asiejua masuala ya kodi awaambie ndio wafanye
 
Usitoe majibu ya maswali ambayo huna ujuzi nayo. Wakati huu mkongo sijui mkunga wa taifa unasimikwa, tuliambiwa na kuaminishwa kwamba utakuwa ndio muarobaini wa matatizo ya mawasiliano Tanzania. Leo hii, miaka michache tu umezidiwa, ina maana makampuni ya simu yanayotandika miamala ya fedha round the clock country wise yanatumia mfumo gani wa mawasiliano?
Kumbuka watu walipiga pesa nyingi kuliko gharama zenyewe.
 
mbona mimi nililipia bank..simple tu
Issue siyo benki, tatizo ni namna ya kupata makadirio kwamba ulipe kiasi gani. Tulikusanya fomu Ving'ung'uti tangu 30/6/17. Tukaambiwa majina yatabandikwa ukutani. Tangu juzi majina ni yale yale. Mbaya zaidi hata kalaud spika ka kutupasha kinachoendelea, wameshindwa. Tunakaa tu kuuza sura. Pale kuna walemavu, wajawazito, wazee, n.k. Afadhali Sabasaba wameweka tuplastick chair watu wakae.
4237d0607e3127ec800a2f577138a8e4.jpg

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Wananchi tujifunze kulipa mapema kuliko kusubiri dakika za mwisho, ni shilingi elfu 10 lakini unaweza kupoteza muda siku 2 kama utani.
hiki kibanda changu nilipe sinngapi na sina kibarua chochote

kibanda.jpg
 
Malipo yote yanafanyika bank kinachofanyika ni mtu kwenda kuchukua bill yake na kwenda bank kulipia. hiyo bill ina contro namba ambayo inatumika kulink kati ya TRA na Commercial bank
WEWE UTAKUA UNA NYUMBA MJINI...AHAHAHA
 
Wananchi tujifunze kulipa mapema kuliko kusubiri dakika za mwisho, ni shilingi elfu 10 lakini unaweza kupoteza muda siku 2 kama utani.
Kaka elfu kumi hakuna kila mtu na makadirio yake kutokana na gharama za nyumba yake

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom