Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,475
Pengine unaenda kulipa kodi kwa mara yako ya kwanza. Acha nikueleze. Tatizo la network TRA sio la leo na hii kodi ya vibanda.System lazima itakuwa down. Kumbuka ni nchi nzima. Bandwith imekuwa ndogo. Mzigo ni mkubwa.
Tujifunze kulipa kwa wakati. Late comers ni 80% ya wateja ( ref: consumer behavior)
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Enzi za uhai wa 'Road License', nimesumbuka sana na 'network' ya TRA. Nina magari 41 ya kuyasimamia, Dar na Mtwara, hakuna mwezi ambao sikuwa nakanyaga TRA. Kila leo shida ni network network. Na usitake kuniambia kuwa tiGO na Vodacom miamala yao ya fedha sio nchi nzima. (ref: TRA behavior)