Kizungumkuti cha BRT

Nijuavyo

Kwanza kunamkanganyiko wa nan uendeshe mradi huu maana mwanzo ilikuwa uda, ila nadhan baada ya uchambuzi wa awam ya 5, kukawa na mapungufu ukapigwa stop

Pili nauli ilipangwa kubwa, na hvyo badala ya nafuuu ikawa mzigo, serikali ikapiga stop kuwa wakachakate upwa bei

Tatu kunatetesi za uda kwa maana ya mmiliki kufilisika hivyo kushindwa kujiendesha maana inamaden mengi

Tano uda ina umiliki wa ama wa remote au wa makubaliano nje ya mfumo rasmi kwa viongozi wakubwa wa nchi hii na taarifa zimefika kwa jpm, na yy akakataa kuona huo mradi ukianza

Sita, huenda pia mradi ukawa na madudu mengi ikiwa ni pamoja na vifaa vingi kuingizwa bila kulipiwa kodi na hvyo tra wanataka kodi na uda hawana,

Zinaweza kuwepo zingine wadau wataongezea...
Hapa ndipo shida ilipo, umeainisha matatizo yalipo. Waliokuwepo madarakani waliendesha mambo kibwege kiasi kwamba irregularities zilikuwa nyingi, na nadhani JPM hataki kampuni yenye matatizo mengi kuendesha mradi mkubwa hivyo.
 
Back
Top Bottom