Kizungumkuti cha BRT

Kweli kuna mambo nchi hii yanaenda kiholela hadi unajiuliza walio na madaraka wanatumia ubongo gani kuratibu na kuongoza.
Hiyo miundombinu imeshaanza kuharibika, kila uchao taa zinagongwa, vizuizi vimegongwa na hata barabara zenyewe zimeanza kuwa na mashimo. Very strange kwa kweli.
 
kuna haja ya kufungua account youtube kuwa tunaupload ahadi na maigizo ya viongozi wetu wanapokuwa wanatuzuga live kwenye taarifa za habari, miaka ijayo watukuu wetu wenda wakajifunza.

Kinyerezi tu pale zimetamkwa kauli karibu mia
 
Nasikia kwenye magazeti ya leo wametaja sababu za kukwama mradi
 
Nchi hii ni ya kisanii hatari...viongozi wakisema jambo usiamini mpaka uone....sijui tunaelekea wapi!
 
kuna haja ya kufungua account youtube kuwa tunaupload ahadi na maigizo ya viongozi wetu wanapokuwa wanatuzuga live kwenye taarifa za habari, miaka ijayo watukuu wetu wenda wakajifunza.

Kinyerezi tu pale zimetamkwa kauli karibu mia
Halafu kelele zooote Kinyerez kumbe MW 240 tu
 
Nijuavyo

Kwanza kunamkanganyiko wa nan uendeshe mradi huu maana mwanzo ilikuwa uda, ila nadhan baada ya uchambuzi wa awam ya 5, kukawa na mapungufu ukapigwa stop

Pili nauli ilipangwa kubwa, na hvyo badala ya nafuuu ikawa mzigo, serikali ikapiga stop kuwa wakachakate upwa bei

Tatu kunatetesi za uda kwa maana ya mmiliki kufilisika hivyo kushindwa kujiendesha maana inamaden mengi

Tano uda ina umiliki wa ama wa remote au wa makubaliano nje ya mfumo rasmi kwa viongozi wakubwa wa nchi hii na taarifa zimefika kwa jpm, na yy akakataa kuona huo mradi ukianza

Sita, huenda pia mradi ukawa na madudu mengi ikiwa ni pamoja na vifaa vingi kuingizwa bila kulipiwa kodi na hvyo tra wanataka kodi na uda hawana,

Zinaweza kuwepo zingine wadau wataongezea...
 
Mambo iko hapa
 
Back
Top Bottom