Kizungumkuti cha BRT

Mradi wa DART upo chini ya Serikali nikimaanisha Miundombinu ila Vitendea kazi ndio vinamilikiwa na Kampuni binafsi,Hya mabasi yaliingia km Mradi wa umma kwahyo kwahyo hayakulipiwa Ushuru,baada ya JPM kuingia madarakani ikasemekana huu ni wa Serikali ila Vitendea kazi ni binafsi kwahyo Mmiliki anatakiwa alipie Ushuru wa Billion 8 mabasi yapo 140
 
Sarakasi tupu huu mradi
 
Ni ya Serikali au ni ya watu binafsi?nina wasiwasi kuna mgongano wa kimaslahi mahali

Huu ni mradi wa mafisadi walio tuibia kampuni yetu ya UDA kwa matarajio kuwa wao ndio waje kuendesha mradi huo wa mabasi; sasa huo mpango ulipata baraka enzi za Kikwete ambapo mambo hayakuwa yanachambuliwa kwa makini lakini sasa awamu hii hakuna mchezo mambo ya kupemdeleana hakuna na ndio maana hao walioleta hayo mabasi wanahaha kutaka serikali iwadhamini kupata mkopo benki ili walipie kodi mradi ambao haukufanyiwa uchambuzi vizuri kitu ambacho kinaweza kuiingiza serikani matatani na mabenki watakaposhindwa kulipa deni lao!!
 
Mradi wa DART upo chini ya Serikali nikimaanisha Miundombinu ila Vitendea kazi ndio vinamilikiwa na Kampuni binafsi,Hya mabasi yaliingia km Mradi wa umma kwahyo kwahyo hayakulipiwa Ushuru,baada ya JPM kuingia madarakani ikasemekana huu ni wa Serikali ila Vitendea kazi ni binafsi kwahyo Mmiliki anatakiwa alipie Ushuru wa Billion 8 mabasi yapo 140
Sarakasi tupu huu mradi
Mambo ya kipuuzi na yasiyo na tija kwa wananchi.
Kwa sababu wakati mradi unaandaliwa mambo yote haya yalipaswa kuwa yameshazingatiwa, kufanyiwa kazi, na kupitishwa kama sehemu ya mradi.
Hiki kinachosemwa hakiingii akilini hata kidogo.
 
Ngoja tuone mwisho wake ninini
 
Yaaani kwani jamii hii ya wadanganyika ilikuwa bado haijazijua bwebwe za wanasiasa? Kauli hizo zilikuwa za kisiasa tu kwa wadanganywa na wakadanganywa.
 
Hivi mradi huu wa mabasi ya mwendo kasi jijini dasalama umepotelea wapi?
mwenye taarifa anisaidie.
 
Haaaa, hivi bado hayajaanza kazi? jamani huu utani wa ngumi sasa hawaogopi kuahidi uongo au watumbua majipu wana share so hawata guswa?
 
Dili za watu zilivurugwa na isitoshe jiji limechukuliwa na UKAWA. Changamoto kwa wapiga diliccm.
 
YAKO Yard Tu, Wenyewe Bado Wanaficha Majipu Yaliopo Ndani Ya Mradi Huo!!! KWANI Wabunge Wa DAR Walikuja Juu MNO, Kuhusu Namna Ya UUZWAJI WA UDA, TULISIKIA Na Kuona Wakitukanwa Na Meya Wao, KUWA Wanafikiri Kwa Kutumia MAKALIO!! ALAFU Nilishangaa Mno, Kuona PM Mara Baada Ya KUTEULIWA Na KUAPISHWA, ALIPOENDA Mara 1 Kukagua Miundombinu Ya Mradi Huo Na KUTOA MUDA, Wa Mwisho Kuanza Kwa Mradi Huo!! NILIHISI Kama Ni Mtu Alipewa MAAGIZO FULANI Toka Sehemu FULANI!!! NIKAHISI Hilo LITAKUWA Gumu Kwake, Maana Mradi Huo Umezingirwa Na Maskendo Ya Ubadhirifu, Rushwa Na Ufisadi!!
 
Ulikuwa mradi wa dili huo sema wanashindwa kuurudisha katika mfumo unaotakiwa labda tusubirie tujue watafikia wapi maana wakisema nauli ibaki ileile hapa mjini sasa patakuwa pagumu sana.
 
Kwa mujibu Wa ramani ya barabara ya mwendo kasi ndani ya kituo cha ubungo terminal palitakiwa pajengwe jengo kubwa la biashara ambalo daraja linaingia moja kwa moja ndani lakin sioni hata msingi wake nahisi ndo imetoka hivo. Mtashuhudia mwaka unaisha mambo yako pale pale. Tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom