Dah huyo maunda Zoro afya yake naona kama mgogoro flani hivi mnyongeeeeeeeee sijui yukoje
Was she in a strip club or what...????
Fill for urself madam! Can't u See?oooh oh oh hiki nacho ni kivazi au night dress??????
OMG! hivi huyu dada alinusurika kwenye mabomu ya Mbagala au nimemtizama vibaya?<!-- google_ad_section_end -->
kuvaa kote uchi ki hivyo lakini no mvuto, yaani haviii hata kidunchu, na hiyo make up ndio kavuruga mazima, nimeona pics nyingine cjui blog gani, kuna yule presenter wa star tv uwiii yaani kituko kabisaaaa, hivi hawawezi kuwa cmple tu wakaeleweka? nimemuona na yule mtangazaji wa clouds nae cjawahi kunuona akipendeza kwenye matukio jamani, hivi wanadhani kujiweka uch uchi ndio kupendeza?
hiyo make-up jamani amenikumbusha 'Song of Lawino n Okol'
she looks like a guinea fowl
oooh oh oh hiki nacho ni kivazi au night dress??????
Goshhhhhhhhhhhhhhhhh eeh mungu baba na mwana na roho mtakatifu tusamehe sana
Hivi huyu binti si kajifungua juzi juzi tu huyu..........anatia kinyaa kwa kweli.....Sura limekuwa bayaaaaaaaaa utafikiri kamwagiwa maji ya moto na kubabuka..................Kamekuwa kabayaaaaaaaaaa
Halafu huyo baba yake naye mshamba tu.....Hata hao wazungu wanaowaiga wengi wao hawaendekezi upuuzi huu.....We baba gani wa Kiafrika unamruhusu bintiyo kukumbatiana nawe akiwa nusu uchi mbele ya kadamnasi..........Zahir anapaswa kubadilika sasa,hata mwanawe Banana anamshinda bana.....................aaaaaaaaaaaaaaaaaargh